Msiba wa Wa-technolojia yote

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
543
37
Ulimwengo uko kwenye majozi makubwa kwa kufariki kwa mmiliki na mtengenezaji wa bidhaa ya Apple ambazo wanatechnlojia kama computer,simu,ipod wanazijua sana bidhaa zake.
Kwa jina ni:
Steven Paul Job alizaliwa mwaka 1955
na kufariki 5/10/2011
Alitarajia tutoa sim ya iphone5 ambayo haina mfano lakini pia kabla ya kifo chake alishatoa iphone s ambapo alama yake (logo) ni apple lilong'atwa kidogo.
nenda kwny mtandao utaiona ni kama kioo.
Lakini mpaka kifo chake iphone5 haikuwa imetoka
mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu
Steven Paul Job
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom