kutokana na mgogoro ulioibuka hapa donge kwenye mazishi ya sheikh nassor bachuu pale kaburi lake lilipochimbwa karibu na msikiti kitu ambacho kwa mujibu wa ahli sunna ni kosa na wamekataa kabisa kumzika hapo na tayari wamekaa kikao pamoja na wanafamilia na wameshatoa uamuzi kupitia sheikh nurdin kishki na kinachofuata hivi sasa ni kuchimbwa kaburi jengine na wamewataka maelfu ya waislamu waliofika hapo kuwda na subra HII NI NOW NOW
nipo zenji si unajua mambo ya valentine? kwani ni vibaya kumzika mtu karibu na msikiti tena shekhe?Smile kuna Mpemba kaiba password yako ndio anapost humu siamini kama huyu ni wewe, kuna code number humu za kuwagunduwa Mujahidina miandiko yao naijuwa vyema.
kwanini mmegoma kumzika hapo kwa awali karibu na msikiti mkuu?sasa hivi sala ya maiti ndio anaswaliwa al marhum sheikh nassor bachu katika viwanja vya mnazi mmoja , zanzibar
Wagalatia waombeni mods wawatoe waislamu wote humu ili mtumie kutangaza misiba ya mitume na manabii wenu na mambo ya kanisa tu maana hizo chuki sasa zimezidi
pole mkuu taratibunaona chuki ya waziwazi juu u-islam, sijaona dalili ya udini katika post lakini mtu ameitwa mdini duh, sidhani kama kuna anayelazimishwa kuchangia thread, kama hujaelewa lugha acha walioelewa wachangie kwani wewe siyo muhimu sana.
Kuleni ujana tu bado hamjawa na majukumu, hata mimi zamani nikiwa na Million mfukoni ilikuwa haina Auditors ni kubutuwa tu, lakini majukumu ya kusomesha yalipoanza yamenipa discipline. by the way happy Valentines.nipo zenji si unajua mambo ya valentine? kwani ni vibaya kumzika mtu karibu na msikiti tena shekhe?
maisha tu mimi ni mzee kuliko wewekuleni ujana tu bado hamjawa na majukumu, hata mimi zamani nikiwa na million mfukoni ilikuwa haina auditors ni kubutuwa tu, lakini majukumu ya kusomesha yalipoanza yamenipa discipline. By the way happy valentines.
pole mkuu taratibu
tupo pamoja nipo kwenye mazishi hapa ndo tunachimba kaburi tena
Basi utakuwa ni kijana wa zamani na si Mzee. ulicheza bumping wewe? Seven floor ndani ya Kili Hotel uliiwahi?maisha tu mimi ni mzee kuliko wewe
Kupoteza ni kazi ya shetani, ndio maana mafundisho mengine tunasema ni kishetani.Poleni mkuu, wataelewa tu Insha Allah, Mwenyezi Mungu humuongoa amtakaye na pia humpoteza amtakaye.
acha mambo ya kili bwana nipo msibani hapaBasi utakuwa ni kijana wa zamani na si Mzee. ulicheza bumping wewe? Seven floor ndani ya Kili Hotel uliiwahi?
Kupoteza ni kazi ya shetani, ndio maana mafundisho mengine tunasema ni kishetani.
acha mambo ya kili bwana nipo msibani hapa
watu wengine wanaleta uzi za kichokozi!! sasa hayo maneno "innalillah wainna illahi rajiun". si utafsiri kwa kiswahili? ndio nyie mnaleta udini humu ndani.
Thread yako ina mapungufu makubwa sana, kwahiyo wasiowaumini hili tangazo haliwahusu? halafu huyu ni allah au Allah?
Msiba huu ni mkubwa je kuna msiba mdogo? hivi na Mashekh siku hizi ni Ma-celeb? jipange kabla ya kuandika thread humu.