Mkondakaiye
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 838
- 175
Wanajaribu kunogesha habari.
Ila hiyo habari ya kufukuzana msibani inashangaza.
Ni kweli, hata kama mwenyekiti alikuwa hampendi Regia, hakupaswa kufukuzwa kwenye msiba.
Wanajaribu kunogesha habari.
Ila hiyo habari ya kufukuzana msibani inashangaza.
CHADEMA WALILETA KIKUNDI CHA WASHANGILIAJI!?toa sababu za wao kufanya hivyo tena mribaniSteve, kwa vile watu walikuwa wengi makofi yalipigwa!. Hata wakati Kafulila inaingia kwenye gari yake akiwa amekaa siti ya mbele ya abiria, alipunga mkono na umati wa washangiliaji walimshangilia tena huku wengine wakinyanyua mikono na wengine wakipiga makofi!. Hali niliyoiona jana pale Karimjee ni aa if Chadema ilileta kikundi cha washangiliaji wa ile dizain ya mikutano ya CUF!. Na kwa jinsi nilivyowaona washangiliaji hao, nadhani wako njia moja mpaka mazikoni!.
Steve, kwa vile watu walikuwa wengi makofi yalipigwa!. Hata wakati Kafulila inaingia kwenye gari yake akiwa amekaa siti ya mbele ya abiria, alipunga mkono na umati wa washangiliaji walimshangilia tena huku wengine wakinyanyua mikono na wengine wakipiga makofi!.
Hali niliyoiona jana pale Karimjee ni aa if Chadema ilileta kikundi cha washangiliaji wa ile dizain ya mikutano ya CUF!. Na kwa jinsi nilivyowaona washangiliaji hao, nadhani wako njia moja mpaka mazikoni!.
ameomba radhi ila ana mung'unya maneno eti chama fulani sijui ndiyo chama ganiCHADEMA WALILETA KIKUNDI CHA WASHANGILIAJI!?toa sababu za wao kufanya hivyo tena mribani
Mh magazeti njaa yanayotafuta kula. Habari gani hii? Kwani ni ajabu kwa mtu kuanguka ktk mcba wa mtu ampendae?! Mbona wanaitaka kuisiasalize hii issue ya Mzee Makani?
Hao waliomfukuza huyo mpinzani wa marehemu nao hawajakomaa kisiasa.Unless kuwe na ya ziada kati yake na marehemu!
Rest In Peace Shujaa wetu.
Double Chriss, hili la kutotaja jina la chama ni kwa lengo la kulinda heshima ya chama dhidi ya vitendo individually vinavyofanywa na wanachama/wafuasi/au washabiki wake lakini hawakutumwa na chama.chama fulani ndiyo chama gani tena ??
wengine htupo msibani tunategemea JF mtuteletee habari " and here we dare to talk openly " otherwise CDM wanaleta aibu kwa kugombana msibani
Mkuu,...otherwise CDM wanaleta aibu kwa kugombana msibani
Angel Msoffe, nilishaifuta ile kauli na kuiombea msamaha!.CHADEMA WALILETA KIKUNDI CHA WASHANGILIAJI!?toa sababu za wao kufanya hivyo tena mribani
Hichi nacho ni nini?
Mambo mengine aibu kabisa
Mkondokaiye, hili nilisharekebisha. tena sasa na edit hata ile post yangu!.Kwa suala la ushangiliaji umeweka chumvi mkuu, unajua wanachama wengi wa cdm ni vijana, na vijana wanapenda kuonyesha hisia zao waziwazi, hivyo kusema kuwa waliletwa kwaajili ya kushangilia utakuwa unawakosea adabu cdm.
Ni kweli, hata kama mwenyekiti alikuwa hampendi Regia, hakupaswa kufukuzwa kwenye msiba.
Mkuu,
Kutoelewana nadhani kumetokea Ifakara (kama umesoma story hii vyema). Binafsi nilikuwa pale lakini sikuona ugomvi zaidi ya watu kucheka baada ya Kafulila kutajwa kusindikiza msiba.
Ya Ifakara siwezi kuyaongelea, kama ni kweli basi wamekosea kushindwa kuvumiliana wakati wa msiba, tatizo story haiko balanced kiasi hatujaona upande wa pili wakieleza kwanini hawakumtaka kiongozi huyo msibani
Ungeedit na hiyo post; ningekuona si mwandishi uchwara kama ulivyoainisha sifa za mwandishi uchwara hapo juu!Angel Msoffe, nilishaifuta ile kauli na kuiombea msamaha!.
Wanajaribu kunogesha habari.
Ila hiyo habari ya kufukuzana msibani inashangaza.
Mkuu Mwita, nimekubali yaishe. Kumbe ulikuwepo pale nilipokuwa nasalimiana na yule mama kasuku?!.
Ungeedit na hiyo post; ningekuona si mwandishi uchwara kama ulivyoainisha sifa za mwandishi uchwara hapo juu!
Mkuu,
Kutoelewana nadhani kumetokea Ifakara (kama umesoma story hii vyema). Binafsi nilikuwa pale lakini sikuona ugomvi zaidi ya watu kucheka baada ya Kafulila kutajwa kusindikiza msiba.
Ya Ifakara siwezi kuyaongelea, kama ni kweli basi wamekosea kushindwa kuvumiliana wakati wa msiba, tatizo story haiko balanced kiasi hatujaona upande wa pili wakieleza kwanini hawakumtaka kiongozi huyo msibani
Ilielezwa kwamba baada ya Ngozi kufika msibani hapo juzi majira ya saa moja usiku na kusalimiana na viongozi wa Serikali, alifuatwa na baadhi ya makada wa chama hicho wakimtaka aondoke eneo hilo jambo ambalo aliligomea. Wafuasi hao wa Chadema waliamua kutumia nguvu kumwondoa hali iliyowalazimu polisi waliokuwa eneo hilo kuingilia kati. Askari walimtoa mwenyekiti huyo na kumpeleka katika Kituo cha Polisi Wilaya.
Hiyo ilikuwa mara ya pili kwa Ngozi kutimuliwa katika msiba huo. Mara ya kwanza ilikuwa juzi na kumlazimu Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Francis Miti kuingilia kati.

mkuu maana yangu ipo hapa naoma hii ni aibu kwani ninacho amini msibani huwa tofauti zinaisha kama kuna ulazima zitaanza baada ya msiba kuishaAlipoulizwa kuhusu tukio hilo, Ngozi alikiri kutokea vurugu hizo msibani na kudai kwamba, alifanyiwa fujo na kikundi cha watu aliowaita wahuni na kwamba amefungua kesi ya kufanyiwa vurugu katika Kituo cha Polisi Wilaya ya Kilombero na kwamba baada ya kumalizika kwa mazishi atasimamia suala hilo ili haki itendeke.