hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wamali na watu kufa, kupoteza mazao na wabashirie wanaosubiri ( al baqara aya ya 155) mwenyezi mungu awape subira wafiwa wote na tumuombe mwenyezi mungu mwingi wa reheme amghufurie madhambi yake na azifanya kubwa thawaba za msiba huu amen.