Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,033
Mawazo alikuwa mkuu wa mkoa? nyie mngeuliza mbona musukuma hakutoa pole ningewaelewa.
asante. unatumia kichwa kufikiri, safi!!
Mawazo alikuwa mkuu wa mkoa? nyie mngeuliza mbona musukuma hakutoa pole ningewaelewa.
Baada ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Geita kuuwawa na wanaosemekena vijana wa ccm wa Green
guard ungetegemea ktk hali ya ubinadamu(weka siasa pembeni) na mshikamano wa ki nchi kiongozi wa nchi angenyoosha mkono wake kuwapa pole chadema na familia ya mhusika kwa kifo cha kiongozi wao wa ngazi ya juu kabisa kanda ya ziwa na hasa ukizingatia mazingira ya kuuwawa kwake. kuna wale wanaoamini kuwa anaweza kuwa na mkono wake kwy zuio la msiba binafsi siamini hilo lakini swali ninalojiuliza kwanini hakunyanyua simu na kumpigia RPC au RC kuwaomba waachane na mambo ya aibu wanayoyafanya badala yake washirikiane nao kwa kuwapa ulinzi ??? naomba kupata maoni yako mwana JF kuhusu Rais huyu kuhusiana na issues za kujenga mshikamano, mahusiano na kutuunganisha kama nchi ktk tukio la kikatili lilogusa wengi
Huu ndio udhaifu mkubwa wa Magufuli na katika hili kachemka sana.
kwan huo msiba wa mawazo una uzito gan? labda tuanzie hapo!
mi nachojua ni kwamba chadema safar hii wamekosa cha ku-make headline that's y wakaforce msiba ku-make headline na vitu vingine visivyo na mantiki ili kusustain mashabik wenu. If so bas mmekosa ubunifu wa kisiasa na kwa mwendo huu mtafutika kweny raman mapema mno.
Na Mh. Ndoivo ka mnavoona anapiga mzigo accordingly sasa sijui mtatokea wap this term!
Ni hayo tu!
Baada ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Geita kuuwawa na wanaosemekena vijana wa ccm wa Green
guard ungetegemea ktk hali ya ubinadamu(weka siasa pembeni) na mshikamano wa ki nchi kiongozi wa nchi angenyoosha mkono wake kuwapa pole chadema na familia ya mhusika kwa kifo cha kiongozi wao wa ngazi ya juu kabisa kanda ya ziwa na hasa ukizingatia mazingira ya kuuwawa kwake. kuna wale wanaoamini kuwa anaweza kuwa na mkono wake kwy zuio la msiba binafsi siamini hilo lakini swali ninalojiuliza kwanini hakunyanyua simu na kumpigia RPC au RC kuwaomba waachane na mambo ya aibu wanayoyafanya badala yake washirikiane nao kwa kuwapa ulinzi ??? naomba kupata maoni yako mwana JF kuhusu Rais huyu kuhusiana na issues za kujenga mshikamano, mahusiano na kutuunganisha kama nchi ktk tukio la kikatili lilogusa wengi
akifanya kitu magufuli knaonekana kweliii..mbona walifariki wale watu kwenye ajali ya ndege kna slaa na filikunjombe lakn hatukuskia kua lowasa au mbowe wamesema nn...
Mawazo amelifanyia nini taifa mpaka apewe pole na rais!? Kwa kuvaa kwake magwanda au!? Si bora angekuwa mgambo basi angeeleweka...sasa kweli rais atoe pole kwa mvaa magwanda kwa lipi hasa!?!? Pole tutatoa sisi raia..kama hamtaki potelea mbali.

Good point Sijali
Rais wa nchi ktk spirit ya utaifa lazima uwe tayari kuweka siasa pembeni na hasa kama ulivyosema mazingira ya kifo chake. hakuna aliyesema ampigie simu pole Mbowe lakini hata wafiwa baba au mkewe kumbuka kichama huyu alikuwa kiongozi mkubwa na ameuwawa na wanaosemekana wafuasi wa chama chake hilo pekee linafaa kumsukuma mtu siyo kutoa pole kwa familia na pia kutoa tamko zito kuhusu kuwasaka na kuwafkisha mahakamani wausika wote. kwa kweli kwenye tukio hili Magufuli amechemsha ile spirit yake ya maendeleo hayana vyama sikuiona na alivaa u ccm zaidi kuliko utanzania/ubinadamu.
Inaelekea unachuki sana juu wapinzani.Nenda kajisomee upate kuelewa upinzani siyo uadui.Huyu pia alilifanyia Taifa kazi kubwa sana ya kufundisha wanafunzi ambao ni watanzania na wapo mitaani.Pili ni mtanzania na binadamu kama ilivyo kwa mwanaCCM.
Hivi wale waliouawa UFARANSA wameisaidia ninin Tanzania???Kwa hiyo tunaona mzungu ni binadamu kuliko Mtanzania mwenzetu???
Any inawezekana aliyetuma ni mwenye chuki na Marahemu maana hata account yenyewe ni ya Jamii fulani ya wati fulani yaani a sharing account.
Nenda nje utoe mawazo yako kama individual,usitoe mawazo ya kukariri.
na juzi juzi tu magufuli kafiwa na mjukuu wake, walimpa pole?