Msiba wa Mawazo: Rais Magufuli hata pole ya maneno imemshinda?

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Baada ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Geita kuuwawa na wanaosemekena vijana wa ccm wa Green
guard ungetegemea ktk hali ya ubinadamu(weka siasa pembeni) na mshikamano wa ki nchi kiongozi wa nchi angenyoosha mkono wake kuwapa pole chadema na familia ya mhusika kwa kifo cha kiongozi wao wa ngazi ya juu kabisa kanda ya ziwa na hasa ukizingatia mazingira ya kuuwawa kwake. kuna wale wanaoamini kuwa anaweza kuwa na mkono wake kwy zuio la msiba binafsi siamini hilo lakini swali ninalojiuliza kwanini hakunyanyua simu na kumpigia RPC au RC kuwaomba waachane na mambo ya aibu wanayoyafanya badala yake washirikiane nao kwa kuwapa ulinzi ??? naomba kupata maoni yako mwana JF kuhusu Rais huyu kuhusiana na issues za kujenga mshikamano, mahusiano na kutuunganisha kama nchi ktk tukio la kikatili lilogusa wengi
 
Kwenye msiba wa Clement Mabina mlitoa pole? si ndio mlikuwa wa kwanza kukebehi! mlidhani hayatawakuta?
 
Baada ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Geita kuuwawa na wanaosemekena vijana wa ccm wa Green
guard ungetegemea ktk hali ya ubinadamu(weka siasa pembeni) na mshikamano wa ki nchi kiongozi wa nchi angenyoosha mkono wake kuwapa pole chadema na familia ya mhusika kwa kifo cha kiongozi wao wa ngazi ya juu kabisa kanda ya ziwa na hasa ukizingatia mazingira ya kuuwawa kwake. kuna wale wanaoamini kuwa anaweza kuwa na mkono wake kwy zuio la msiba binafsi siamini hilo lakini swali ninalojiuliza kwanini hakunyanyua simu na kumpigia RPC au RC kuwaomba waachane na mambo ya aibu wanayoyafanya badala yake washirikiane nao kwa kuwapa ulinzi ??? naomba kupata maoni yako mwana JF kuhusu Rais huyu kuhusiana na issues za kujenga mshikamano, mahusiano na kutuunganisha kama nchi ktk tukio la kikatili lilogusa wengi
Yaani bado mnatumia msiba wa A. Mawazo kisiasa mpaka leo hii? Kweli mmeishiwa.
 
Misiba yote kwa sasa hapa nchini itawakilishwa na chadema. Lazima tugawane majukumu bado kuna kazi za kufanya hatuwezi wote tukaenda misibani. Lowassa ameteuliwa awe anaongoza misafara ya kwenye misiba mpaka itakapotangazwa vinginevyo.
 
Umeona eeeh! Bahati nzuri Lowasa kwa sasa hana kazi. Jukumu la kushinda misibani linamfaa
 
Watu waliozowea kumwona JK akihudhuria misiba mbalimbali wanadhani hiyo ni sehemu ya majukumu ya rais !
 
Back
Top Bottom