Shukrani.
Nawashukuru kwa moyo wa dhati wana JF wote kwa pole zenu mlizozitoa, na wale waliofika nawashukuru sana, kweli ni ngumu kupokea ila hamna jinsi maana haizuiliki!Biblia inasema shukuruni kwa kila jambo, likikufika ni ngumu sana kutamka "nakushukuru Mungu kwa hili" ila hakuna jinsi, tufarijiane kwa hilo! Nawashuku sana Mbarikiwe wote mliofika, na hata kwa maombi yenu