Msiba wa Kijana Abas

Dearest hujambo............pole mwaya.......ni mipango ya Mungu......mipango ya mwanadamu ni tofauti na mipango ya Mungu

Kweli nimeshikwa na uchungu ...
Kijana Abbasi sonto kaa nimsahau
maisha yangu yote..
 
Bwana alitoa na ametwaa,
kazi ya mungu haina makosa r.i.p kaka abasi,wewe mbele sisi nyuma
 
Kama ulisoma stori ya Lunyungu then na hii hapa utajua kuwa hii sio kazi ya Mungu ni uzembe wa madaktari wetu
 
Kweli nimeshikwa na uchungu ...
Kijana Abbasi sonto kaa nimsahau
maisha yangu yote..

yaani we acha naangalia picha zake alipokuwa KCMC mmmmhhh nashindwa kuamini
roho imeniuma sana
uwezi amini jana nilikuwa namtafuta kwenye simu mpaka saa 3 bila mafanikio
leo nimeamka namtafuta simpati nikapiga simu kwa nurse mmoja naye alikuwa hapatikani nikampigia rafiki yangu yupo moshi
akanipa simu ya nurse mwingine ndio akanipa taarifa hiyo
nilikuwa nimemwahidi ningekwenda ijumaa maana p holiday na angekuwa ameshafanyiwa upasuaji
tunamshukuru Mungu kwa kila jambo
 
Ohooo poleni saana wahusika na msiba huu mzito, Bwn MUNGU awape moyo wa uvumilivu kukabili haya majukumu yambatanayo na kufiwa, poleni sana!!!!!!!!!!!!!!
 
Dah!

Nimejikuta nimemkumbuka Chetuntu bila kutegemea!
 

Pole sana dear...
Aliniambia jinsi ulivyokuwa unaenda
Kumuona mara kwa mara, jinsi mlivyokuwa
Mnacheka, na pale ulipofikisha ile michango
Ya wana JF..

Mara ya mwisho nlivyoongea nae aliniambia
Afadhali hajavimba mdomo ili aweze
kupiga porojo na kutuchekesha.. na aliniambia nisimuonee huruma bali nimuombee na niwe na imani..

Kwa kweli Abbasi alikuwa kijana wa aina yaki
Pekee.. na nimejifunza mengi kutoka kwake.
I will miss you my dear friend ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…