swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,251
- 1,467
watu wengi ktk vyombo vya habari,mitandao ya kijanii,fb na mawasiliano mengine wamekua na maoni kuwa msibaba wa baba madiba umetia fora barani afrika kabda na hata ulaya.
lakini moha ya vigezo vinavyotolewa ni waingi wa watu na uwepo wa viongozi maarufu duniani.
kila msiba una aina yake ya kutia fora.Msiba ambao umetia fora kuliko misiba iliyowahi kutokea kote afrika na ulaya kama si dunia nzima ulitokea tanzania na watz tunahaki ya kusherehekea.
msiba wa aliyekuwa gavana wa benki kuu ya tz Daud BALALI ndio uliotisha kwa sababu:
1.haukupata kuoneshwa ktk chombo chote cha habari pote duniani.
2haukuhudhuriwa na kiongozi yeyote wa nchi yoyote duniani
3.kaburi lake halijulikani liliko
4.nyumbani kwa marehemu hskuna mwandishi aliyeruhusiwa kuingia
5.hakuna mwanandugu aliyezungumzia msiba huo.
6.serikali haikutumia senti hata moja katka msiba.
tunasemaje msiba wa mandeka umetia fora?tusisahau vya kwetu tukatukuza vya wengine.