Msiba siku ya Ndoa

Ni mambo ya kawaida tu;
Huwezi kumzuia Mungu kufanya chochote wakati wowote;

Kwetu hatuna mila, usiogope.
 
Sijui hata nichangie nini,harusi inakuwa haina furaha hata
 
Dadaa charminglady kwani inapokaribia kuoa au kuolewa unapata privilege toka kwa Mungu ya kutokufa kwa kipindi hicho?
 
Last edited by a moderator:
Unauhusiano na bibiharusi alyefariki ambaye ndoa yake ilikuwa iwe jumamosi?

Mkuu sina uhusiano wowote ila nilizisikia hizo habari toka chanzo cha karibu na bi harusi huyo!! Nikaona nilete hapa ili wajuzi wa mambo watufungue majicho...
 
Ni mambo ya kawaida. Hakuna anayechagua siku ya kufa. Unaweza kufa hata ukiwa kanisani, katikati ya misa. Au msikitini ukiwa kwenye ibadai. Kwa kifupi, maiti hachagui siku ya kufa. Ikifika muda wa kuondoka duniani, ni lazima utaondoka tu!!
 
aiseeeeeee ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…