MSIBA: Nimefiwa na Mama yangu mzazi

Kidogo chetu

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,432
992
Ndugu zangu wana Jamvi nawajulisha kifo cha mama yangu mzazi kilichotokea usiku huu hapa Dar es salaam . Msiba uko Kawe opposite viwanja vya Tanganyika Parkers nyuma ya MSONGE PUB .Taratibu na mipango ya Mazishi zinafanyika Kawe na Marehemu atasafirshwa kwenda Musoma kwa Mazishi taratibu zikikamilika .Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
 
Pole ndg
 
Pole nyingi ziwafikie wewe na familia yako mkuu.

Mungu awatangulie wakati huu mnamuhitaji zaidi. Amen
 
Pole sana kwa kuondokewa na mzee, nakutakia kila wepesi kwenye wakati huu mzito unaopitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…