MSIBA: Nimefiwa na Mama yangu mzazi

Kidogo chetu

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,432
992
Ndugu zangu wana Jamvi nawajulisha kifo cha mama yangu mzazi kilichotokea usiku huu hapa Dar es salaam . Msiba uko Kawe opposite viwanja vya Tanganyika Parkers nyuma ya MSONGE PUB .Taratibu na mipango ya Mazishi zinafanyika Kawe na Marehemu atasafirshwa kwenda Musoma kwa Mazishi taratibu zikikamilika .Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
 
Ndugu zangu wana Jamvi nawajulisha kifo cha mama yangu mzazi kilichotokea usiku huu hapa Dar es salaam . Msiba uko Kawe opposite viwanja vya Tanganyika Parkers nyuma ya MSONGE PUB .Taratibu na mipango ya Mazishi zinafanyika Kawe na Marehemu matasafirshwa kwenda Musoma kwa Mazishi taratibu zikikamilika .Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Pole ndg
 
Pole nyingi ziwafikie wewe na familia yako mkuu.

Mungu awatangulie wakati huu mnamuhitaji zaidi. Amen
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom