Hatimaye vifijo, nderemo pamoja na simsnzi vyatua kwenye viwanja vya SUA, Swala hilo limejitokeza baada ya matokeo ya University Examination (UE) kutolewa kwenye mbao za matangazo huku vijana wengi wakiawa wanasikitika sana kutokana na kukosa boom la mwaka mpya wa masomo kutokana na kukosa sifa za kuendelea na chuo hicho huku wengine wakijipongeza kwa kufanya vizuri masomo yao.
Jambo la kusikitisha ni pale kijana mmoja alipoamua kujinywea pombe kali aina ya Konyagi ili alewe asahau yaliyopita, lakini kwa bahati nzuri Mungu si athumani kwani kijana huyo hakulewa bali aliishia kupata adhabu ya pombe, EWE GREAT THINKER NAOMBA NISAIDIE KUWA JE, SULUHU YA MAWAZO NI POMBE?