Msiba mkubwa watua sua, kijana anywa mizinga minne bila kulewa

Jaman degree ya sua ni sawa na degree mbili za udom na st john. Usipeleke sua mapenzi SUA.

Acha ujinga dogo, degree za SUA pia si chochote, nimekutana na graduates wao wengi ambao most of them are just bogus! sema tu malecturer wao wanaona ni sifa ku-disco wanafunzi. Imagine hata prof Msola walimdisco afu akaja kuwa DVC wao!
 
This Story is worth telling.., na ipo mahala pake na muhusika amepose a question ambalo wengi wangependa kujua....!!!

Honestly Wakuu what's wrong with this Story ?

Jukwaa ni la Education na mtoa mada anatoa habari ya msiba mkubwa ulioikumba SUA kwa vijana wengi kutofanya vizuri...! ; na kama hio haitoshi katika issue ya mtu kutaka kupoteza mawazo akabwia kinywaji (ambacho kwa kawaida mtu ingebidi alewe).., lakini hakulewa.. (a story worth telling..)

Pia an issue inside the issue... (mtoa mada anauliza kama ni kweli pombe inapoteza mawazo..) maybe ili yeye au wengine wakiwa na mawazo waweze kujiburudisha na kujisahaulisha...

Now wadau tell me what's wrong with above story...?!!!

Binafsi huwa nikimsoma Shakespeare huwa simweli..., lakini I dont blame him I just blame my capability in English Literature..., kwahiyo huyu mtoa mada na yeye anayo aina yake ya ku-represent issue ambayo binafsi sijaona makosa kabisa... (ukizingatia jukwaa ni la elimu na ameleta habari ya elimu, ambayo ni performance ya wanachuo...)
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom