Msiba mkubwa watua sua, kijana anywa mizinga minne bila kulewa

CR wa PROB

Senior Member
Sep 21, 2011
170
29
Hatimaye vifijo, nderemo pamoja na simsnzi vyatua kwenye viwanja vya SUA, Swala hilo limejitokeza baada ya matokeo ya University Examination (UE) kutolewa kwenye mbao za matangazo huku vijana wengi wakiawa wanasikitika sana kutokana na kukosa boom la mwaka mpya wa masomo kutokana na kukosa sifa za kuendelea na chuo hicho huku wengine wakijipongeza kwa kufanya vizuri masomo yao.

Jambo la kusikitisha ni pale kijana mmoja alipoamua kujinywea pombe kali aina ya Konyagi ili alewe asahau yaliyopita, lakini kwa bahati nzuri Mungu si athumani kwani kijana huyo hakulewa bali aliishia kupata adhabu ya pombe, EWE GREAT THINKER NAOMBA NISAIDIE KUWA JE, SULUHU YA MAWAZO NI POMBE?
 
katika kukua,kila stage ina umuhimu wake. acha watoto watembee tet-a-tete ndo wataweza kukimbia!
vijana,poleni kwa kukosa boom. wenzenu ulaya wanafanya parttime kwa kuuza bar,maduka etc.tafuteni ajira halali na mengine yote mtazidishiwa!

pediatric ward hii... naona cheichei wanazungumzia toys zao

what a waste
 
CR- May b ni class representative na huo ndiyo upeo wako wa akili....kaaazz kwelikweli!!
 
Kwa ufinyu huu wa akili utafaulu UE vipi ! Labda kwa migi. Ngoja nitoke humu, upupu tupu.
 
kaka kweli uko SUA au unatania???......hii sio thread ya ma-great thinkers kudiscuss think twice.
 
Poleni kwa disco! Bumu mmekosa, watoto wa mitaa ya mafiga na kahumba watawamis sana.
 
Naona wazee wa ulabu wamekereka baada ya Mtoa mada kuhitimisha kwa swali linalowagusa.. lol
Anyway, mtoa mada hebu toa ufafanuzi ulikusudia kusema nini hasa..
Japo hatuna sababu ya kukereka pale mwenzetu anapoteleza, tuwe wavumilivu wajameni........
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom