MSIBA: Figganigga Amefiwa!

Mkuu figganigga pole sana kwa msiba wa Babu
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema
Apumzike kwa amani
Pole sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Pole sana figganigga, mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu...
 
Last edited by a moderator:
Kwa masikitiko makubwa nawatangazia kuwa mwenzetu Figganigga amefiwa na babu yake mpendwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.

Msiba uko nyumbani KIJITONYAMA MAKUMBUSHO, MTAA WA NIGER KARIBU NA SAFINA HOTEL. Wasiliana na Figganigga 0714253692.

Mkuu poleni sana, MUNGU awatie nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…