RIP Masanja. sasa mimi kinachonishangaza ni kwa nini aliamua kuruka ukuta wakati alipokua akitaka kuingia ndani kwake? jamani ina maana hakuwa hata na namba ya simu ya mkewe au mtu yeyote ndani ili amfungulie mlango au ndio Islaeri alikua akimnyemelea na kumshawishi aruke ukuta ili afe? Kweli kifo tunatembea nacho bara barani na tupo nacho popote pale. Poleni wafiwa
Mkubwa pamoja na majonzi hayo na chanzo ulichokielezea labda ungetuambia/kutukumbusha chanzo cha huo ukuta kuanguka huenda kikawa ni nini??
Mimi mwenzenu napenda kushughulika na chanzo na sio kutafuta nani mchawi, Samahani kama nawaboa jamani.
- nyumba yake haikujengwa kitaalamu??,
- Kuta hizo ni za zamani sana kiasi kwamba kusavaivu zilikuwa zinabembelezwa??
- Ama alikuwa akipita tu maeneo hayo akaangukiwa mkuu???
Nawatakia pole na Mungu amlaze mahala pema peponi, Amen.
du kazi kweli kweli saa saba amaelewa!kweli mkewe kazi alikuwa nayo.matendo yake yanamfuataalirudi usiku saa saba, naona mawasiliano na ndani kwake either hayakuwezekana au yalikuwa hayapo ndo akaamua aruke ukuta aingie ndani. mguu ukaingia kwenye vile vidirisha vya ukuta ukavunjika, na inasemekana alikuwa amelewa