Msiache Shule!

Msiache Shule!

Christina84

Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
74
Reaction score
50
Hello JF,

kumekua na wimbi la wakatishaji tamaa na waleta confusion kwa watu wanaotaka kusoma au kuendelea na masomo awamu hii.
jiajiri imekua neno common humu,na kuwaacha wasomi feels like Failures.
tuwa encourage wasomi wetu,na wale wako masomoni kujitahidi na masomo.

Naomba niwakumbushe,husomi kwa ajili ya Magu,unasoma kwa ajili yako,na jinsi utakavyotawala mazingira yako,depends on you.

Magufuli yupo ataondoka kipindi chake kikiisha,atakuja mwingine labda na A LOT OF OPPORTUNITIES for graduates,huoni kama utaumia????nenda shule upate security,lolote likitokea una elimu yako,una confidence no matter what.
 
Hata waliokwenda shule wanarudi kitaa kuzisaka hela tena kwa msoto
 
Faida ya Shule ni kumfanya mtu awe mstaarabu flani tu...
Vinginevyo shule na asiienda shule anayejitambua wanatofauti ndogo sana.
Note :ila awe anajua kusoma na kuandika
 
Faida ya Shule ni kumfanya mtu awe mstaarabu flani tu...
Vinginevyo shule na asiienda shule anayejitambua wanatofauti ndogo sana.
Note :ila awe anajua kusoma na kuandika

nenda pale jukwaa la love connect,uone kama kigezo ni 'kujua kusoma na kuandika' tu???lol
 
Kusoma tunapenda ila serikali si rafiki. Kuna watu tunategemea mikopo ndio tusome, hata ile hela tu ya kuuomba mkopo ni shida na taabu...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom