ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,152
ni kwel kabisa tunapaswa kuwaheshim wazaz wetu haijalish ni watu wa namna gani...nakumbuka kuna kijana mmoja mama yake alikua kichaa ila hapig mtu ni akili yake tu haijakaa poa na alikua kwenye matunzo so mpaka acheke au aongee mwenyewe ndo utamgundua..kwenye harus yake akamwambia mamake mdogo akamwakilishe mama yake tena hawakumwambia kama kuna harus et asijekung'ang'ania..wakamwacha nyumban na mfanyakaz akamuuliza wengine wapo wap akamwambia harusini ya nani ya george..weee mama alilia huyoo akataka kwenda ndo kichaa kikamwamka kabisaa..hadi anavua nguo analalamika nataka kwenda nataka kwenda...wakamfunga kamba wakamfungia ndani wakamchoma sindano...kilichotokea ni kwamba george, mamake mdogo,shangaz yake na dadake mkubwa walipata ajali mbaya sana walipokua kwenye gari kutokea rombo kwenda babati kwa ajili ya shughuli hiyo na kusagika ndani ya hiyo noah yaani huwez kutambua mtu ilikua 2009 pale maeneo ya mahakamani mwika..hii ilihusishwa na laana ya mama kuwakilishwa wakat yupo hai...tuwaheshim na kuwapenda wazee wetu jamani hata wakiwa vip.
picha hii imenikumbusha mbali sana had nkakumbuka hiki kisa....
picha hii imenikumbusha mbali sana had nkakumbuka hiki kisa....