(Muswada wa vyama vya siasa) unaona jezi ya mshua (kijani) na kwenye kona inaonekana anakuja mtu, angalia chini kuna kivuli chenye kuonesha mtu anakuja (Vyama). Mtu huyo anatakiwa apigwe pigo moja takatifu na rungu hilo.Aliyeelewa,msaada unahitajika.
Thanks mkuu.(Muswada wa vyama vya siasa) unaona jezi ya mshua (kijani) na kwenye kona inaonekana anakuja mtu, angalia chini kuna kivuli chenye kuonesha mtu anakuja (Vyama). Mtu huyo anatakiwa apigwe pigo moja takatifu na rungu hilo.
Inaonesha namna gani vyama vitapata shida na hilo rungu huku mshua akiwa salama na rungu hilo.
kama hujaelewa rudi shule😱😱😱😱😱Aliyeelewa,msaada unahitajika.
Acha kua na akili za kimasikini wewe,Kiazi.kama hujaelewa rudi shule😱😱😱😱😱