Duuh ,! Hawa watu hatari sn ,, kuna watu wanaopiga DILI la kuwaingiza hao wahamiaji haramu hapa nchini petu,, hawa jamaa inabidi wajue ubaya wa hizi Dili zao za kipumbavu kutuingizia watu wa Ajabu hapa nchini kwetu.
Polisi wawe makini na hawa WAPIGA DILI za kuvusha wasomali na Waethiopia mipakani petu.