Mshtakiwa akimbia uchi mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshtakiwa akimbia uchi mahakamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Renegade, Mar 25, 2010.

 1. R

  Renegade JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,770
  Likes Received: 1,075
  Trophy Points: 280
  Habari inayotokea sasa hivi kuna mshtakiwa anakimbia uchi kinondoni mahakamani, habari zaidi zitafuata.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Duh au ni kichaa?
  Hiyo nayo ni njia mbadala ya kusave
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  jinsia yake?
   
 4. R

  Renegade JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,770
  Likes Received: 1,075
  Trophy Points: 280
  Mwanaume.
   
 5. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #5
  Mar 25, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  sasa....daah.
  niseme nini....acha niendelee kucheka huku nikitafakari namna mkimbiaji alivyokuwa anatazamika.
  Mshitakiwa anajinsia gani, maana hii itazidisha wigo wangu wakufikiri.
   
 6. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,473
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  Labda aliambiwa ajitetee
   
 7. R

  Renegade JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,770
  Likes Received: 1,075
  Trophy Points: 280
  Inasemekana walikuwa wawili , mmoja ameshakamatwa , ni taharuki hapa.Walikimbia na makopo mikononi, inasemekana ni makopo ya mavi wanawamwagia watu.
   
 8. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Labda alishtakiwa kwa makosa ya bangi/kilevi...........
   
 9. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  hahaha, aliambiwa ajiteteee ndo akaamua kujitetea kwa kutimua mbio?hahahaha, umenifanya nicheke kwa nguvu hapa ofisini.
   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  duuh hata sitaki kucheka, labda wana matatizo ya akili
   
 11. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2010
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Vipi kengele na rungu zilivyokuwa zinapigana na mapaja, sipati picha.
   
 12. R

  Renegade JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,770
  Likes Received: 1,075
  Trophy Points: 280
  Walikuwa watatu, mmoja amekamatwa, Ilikuwa ni sinema nzuri sana, wakati wa kupanda karandinga jamaa walikuwa wameandaa kinyesi chao, wakatoka nduki huku wanasambaza mavi, ilibidi askari wawapishe tu. Waalikuwa wanarusha kinyesi kwenye chupa za maji za uhai , nduki huku wanarusha kinyesi.
   
 13. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hiyo ni njia muafaka ya kutoroka, kama umeshawahi kulazwa ndani halafu mawazo ya home yanakujia, utatafuta tu njia ya kusepa.

  Kuna jamaa alijimwagia kinyesi halafu akala kona, hii ilitokea Moshi miaka ya 2000
   
 14. M

  Mzee wa Kale Member

  #14
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu pengine kabambikiwa kesi si unajua kama hauna chapaa huwezi kuwa huru wewe cheka tu
   
 15. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Habari za hivi punde kutoka Kinondoni mahakamani ni kwamba:
  Mahabusu watatu walijiandaa kwa kujipaka kinyesi na kubeba kingine cha ziada kwenye makopo yaliyo katwa ya uhai na wakiwa uchi. walipofunguliwa kuingia kwenye magari yao ya kurudishwa sero, wakatoka huku wamejipaka kinyesi nakingine kikirushwa! wamekimbizwa, nimeona mmoja amekwisha kukamatwa akiwa ameshughurikiwa vilivyo na Askali magereza.
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,577
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  tunasubiri more news Renegade
   
 17. R

  Renegade JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,770
  Likes Received: 1,075
  Trophy Points: 280
  Hatimaye washtakiwa wakamatwa. Baada ya kukimbilia kwenye nyumba ya watu na kujifungia, wenye nyumba wakafunga mlango kwa nje na kutoa taarifa kwa polisi wa defender waliokuwa wanawafuatilia.Polisi wamewachukua na kuwarudisha mahakamani tayari kwa kwenda sero.
   
 18. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 35
  ilikuwa hatari sana mmoja nimeshuhudia kakamatwa hapa maeneo ya manyanya mtaa wa kasana,huyu alishasave kwani polisi walikuwa wanaondoka ndo kuna jamaa fundi alikuwa juu ya bati nyumba ya jirani alimwona alipojificha akawatonya polisi ndo kurudi na kumtia nguvuni
   
 19. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2010
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole yake sana!!!
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,396
  Likes Received: 22,273
  Trophy Points: 280
  semenya
   
Loading...