Labda aliambiwa ajitetee
duuh hata sitaki kucheka, labda wana matatizo ya akili
tunasubiri more news Renegade
ilikuwa hatari sana mmoja nimeshuhudia kakamatwa hapa maeneo ya manyanya mtaa wa kasana,huyu alishasave kwani polisi walikuwa wanaondoka ndo kuna jamaa fundi alikuwa juu ya bati nyumba ya jirani alimwona alipojificha akawatonya polisi ndo kurudi na kumtia nguvuni
semenyajinsia yake?