wale wa Bush star tu..
Baiskeli kama hizo sio utotoni zilikuwa ni za wadada tu na tuliziita Baiskeli za Kike... hazina Bomba katikati.. na zilikuwa ni chache na hasa wazungu wa kike ndio walikuwa nazo sana wakiziendesha ili wapitishe miguu yao kwa uzuri..
Baiskeli za Utoto kazi kupakiza mtu kama BMX unabana miguu kwenye exel na mikono unaweka kwenye mabega ya mwendeshaji ila lazima uchoke na ujirushe, Dilela haikuwezekana kumpandisha mtu,Hamilton hiyo mtu akikaa ukampandisha basi akishuka lazima atulie chini mgongo unamuuma unakodisha kuzunguka uwanja.. kila roundi sh kadhaa. Mountain Bike kupakiza mtu ni kwenye Bomba... Phonix ndio unapakiza mtu kiti cha nyuma na kwenye bomba... dah!
Hii picha inanikumbusha kwa mara ya kwanza kujifunza baiskeli ingawa nilikuwa mdogo sana ila nakumbuka kila kitu.
Wenzangu pamoja na mmoja alikuwa mkubwa kuliko sisi wote kwenye kundi lile walikuwa nyuma yangu wananishikilia mimi nanyonga pedeli wananiambia "twende" "twende", sasa ikafikia sehemu mimi sisikii tena makelele nikawa najua bado wamenishikilia kimya kimya, ebwana ile nageuka nawaona nimewaacha mbali sana na mimi kwa ule mshangao wa kugeuka nikapiga mweleka wa nguvu mbaya zaidi kulikuwa na kilima nashuka nacho.
Ule mweleka umenifanya nijue baiskeli tangu ile siku
Hapana nilitoka nundu kubwa sana kwenye paji la uso kisha baada ya siku kadhaa likapotea, kovu hapana.Most likely una kovu la kumbukumbu HARUFU
Hapana nilitoka nundu kubwa sana kwenye paji la uso kisha baada ya siku kadhaa likapotea, kovu hapana.
Nashukuru Mungu pamoja na misuko suko yote niliowahi kupitia sijawahi kupata kovu la kudumu, ni yale majeraha ya kawaida kisha yanapotea kila muda unavyooenda
wale wa Bush star tu..
Baiskeli kama hizo sio utotoni zilikuwa ni za wadada tu na tuliziita Baiskeli za Kike... hazina Bomba katikati.. na zilikuwa ni chache na hasa wazungu wa kike ndio walikuwa nazo sana wakiziendesha ili wapitishe miguu yao kwa uzuri..
Baiskeli za Utoto kazi kupakiza mtu kama BMX unabana miguu kwenye exel na mikono unaweka kwenye mabega ya mwendeshaji ila lazima uchoke na ujirushe, Dilela haikuwezekana kumpandisha mtu,Hamilton hiyo mtu akikaa ukampandisha basi akishuka lazima atulie chini mgongo unamuuma unakodisha kuzunguka uwanja.. kila roundi sh kadhaa. Mountain Bike kupakiza mtu ni kwenye Bomba... Phonix ndio unapakiza mtu kiti cha nyuma na kwenye bomba... dah!
Hii picha inanikumbusha kwa mara ya kwanza kujifunza baiskeli ingawa nilikuwa mdogo sana ila nakumbuka kila kitu.
Wenzangu pamoja na mmoja alikuwa mkubwa kuliko sisi wote kwenye kundi lile walikuwa nyuma yangu wananishikilia mimi nanyonga pedeli wananiambia "twende" "twende", sasa ikafikia sehemu mimi sisikii tena makelele nikawa najua bado wamenishikilia kimya kimya, ebwana ile nageuka nawaona nimewaacha mbali sana na mimi kwa ule mshangao wa kugeuka nikapiga mweleka wa nguvu mbaya zaidi kulikuwa na kilima nashuka nacho.
Ule mweleka umenifanya nijue baiskeli tangu ile siku
Enzi hizo tunatiana moyo kwamba ukianguka ndo utakuwa umejua kuendesha baiskeliHapana nilitoka nundu kubwa sana kwenye paji la uso kisha baada ya siku kadhaa likapotea, kovu hapana.
Nashukuru Mungu pamoja na misuko suko yote niliowahi kupitia sijawahi kupata kovu la kudumu, ni yale majeraha ya kawaida kisha yanapotea kila muda unavyooenda
Pamoja sana KiongoziEnzi hizo tunatiana moyo kwamba ukianguka ndo utakuwa umejua kuendesha baiskeli
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kiongozi.
Naona umeamua kupasha Kiporo😀