Mshkaji wangu amemuoa Ex wangu

Mshkaji wangu amemuoa Ex wangu

Ndio maana nilipotaka kuoa inibidi nivuke mpaka ili kuepuka mambo kama haya.
Hiyo ndo imekaa vibaya kabisa, bora hata aliyeoa anayefahamika maana ex wa mke wako anaweza kumpa hata mshikaji ABC za namna ya kumridhisha huyo mke kuliko mke uliyemuoa ambaye background yake huifahamu vzr. Maana kwako ataigiza ni bonge la mlokole kumbe historia yake unakuta unakuta alikuwa akipenda mtungo au kuliwa ndogo na siku akikutana na ex au ma-ex wake lazima wamkune.

TULIA KAKA USIJISIFU HANA WANAWAKE WA SIKU HIZI HAWATABIRIKI
 
Kwa nini unataka kujua historia ya mapenzi ya mke wako? Ya nini? Itakusaidiaje? Sitaki kujua mimi. Nyie ndio mnafungua simu za wake wenu halafu mnakunywa sumu kwa kile mnachokiona. Inakusaidiaje kujua kuwa mkeo alikuwa anafanya mapenzi kinyume cha maumbile wakati yuko sekondari? Kama na wewe ni wa aina hiyo basi itakusaidia sana. hautaona aibu kuomba huo ufedhuri.
Hiyo ndo imekaa vibaya kabisa, bora hata aliyeoa anayefahamika maana ex wa mke wako anaweza kumpa hata mshikaji ABC za namna ya kumridhisha huyo mke kuliko mke uliyemuoa ambaye background yake huifahamu vzr. Maana kwako ataigiza ni bonge la mlokole kumbe historia yake unakuta unakuta alikuwa akipenda mtungo au kuliwa ndogo na siku akikutana na ex au ma-ex wake lazima wamkune.

TULIA KAKA USIJISIFU HANA WANAWAKE WA SIKU HIZI HAWATABIRIKI
 
Wewe unashangaa x wako kuolewa na rafiki yako!!
Mimi mshikaji wangu wa damu kabsa amemuoa x wangu na mm siku ya kujitambulisha na ndoa mimi ndo nilikuwa msimamizi mkuu.
Hizo mambo kawaida sana kwani wewe ulikuta bikra[emoji23]
 
Ulitaka huyo dada asiolewe? Wewe mwenyewe umeoa X - wa mtu mwingine. Cha ajabu hapo ni kipi?
 
Usiwaze Sana, maana hata wewe utaoa ex wa Mtu. Hiyo ndo inaitwa 50/50.
 
.....nilikua najipigia
......sikuwa na future naye yoyote...

Manzi hukumtambulisha kwa mwana,mwana kakutana nae "akawa anajipigia km ulivyojipigia"...kanogewa kaoa.

KWENDA kwake ni kupanga na kuchagua TU...

Maisha ya chuo tumeyaptia wote,NI maisha ya damu kwenda resi...

Sasa hv mmeshakua wakubwa,na huyo manzi wa "kupigwa" keshakua...hta ukichagua kwenda kwao ATAKUKAUSHIA...NAWE UTAKAUKA...funika kombe mwanaharamu apite....
Mnasongesha life la heshima na mwana...km huko mbele wakija kumwambia,tumia exposure yako ya kukaa huko nje,UTAPATA majibu....

RELAX
 
Kuna watu wanaumia humu coz wamepata waliotumika sana ila mtoa mada nimekusoma, wanawake tulieni ili tuwaowe kwa amani msije kulalamika tunavibamia kumbe mguu wa tembo unapita
 
Kuoa sikuhizi yaani sio jambo la kujivunia kabisalimekuwa jambo la kumdhalilisha mwanaume.


Naanza kukumbuka maneno ya kwenye vitabu vitakatifu wanawake watawatafuta wanaume na kuwaambia nioe uniondolee aibu hii.

Kuna demu nilisomaga nae chuo class walipiga 4,mwaka wa pili walipiga watatu,mtaani tulikaa nae mtaa mmoja walipiga 2... Imagine mwanamke kama huyu alikotoka mpk kafika chuo..


Ngumu kumeza kaolewa week iliyopita sasa unajiuliza mwanamke kama huyu unamuweka status kabisa eti mke wangu kama sio kujitia aibu nini na mali mtu unatoa kabisa kuoa takataka...

No wonder,cohabitation imekuwa common siku hizi.
 
Mimi baada ya CORONA nitavuka boda bora nikachukue mwanamke used mbele kuliko kuchukua hizi takataka zilizotumika hapa bongo.
Maana unaweza muona x wake na ukijilinganisha nae na kuona kuwa umeoa mwanamke asiyefaa kwa aina ya wanaume aliotembea nao.

Niko tiyari kuoa mwanamke kwa gharama yoyote ile endapo atakuwa sio used.
Najua kuwa kwa hapa Tanzania ni adimu ila kwa nchi kadhaa nilizotembelea napata bikra yangu safi kabsa bila longo longo.
Kuoa sikuhizi yaani sio jambo la kujivunia kabisalimekuwa jambo la kumdhalilisha mwanaume.


Naanza kukumbuka maneno ya kwenye vitabu vitakatifu wanawake watawatafuta wanaume na kuwaambia nioe uniondolee aibu hii.

Kuna demu nilisomaga nae chuo class walipiga 4,mwaka wa pili walipiga watatu,mtaani tulikaa nae mtaa mmoja walipiga 2... Imagine mwanamke kama huyu alikotoka mpk kafika chuo..


Ngumu kumeza kaolewa week iliyopita sasa unajiuliza mwanamke kama huyu unamuweka status kabisa eti mke wangu kama sio kujitia aibu nini na mali mtu unatoa kabisa kuoa takataka...

No wonder,cohabitation imekuwa common siku hizi.
 
Kuwa makini shetani asikupitie, Urafiki huwa haufuti adhabu za kushikwa ugoni. Utakuwa mwenyewe wakati wa kujibu swali la tukupe adhabu gani?
 
Back
Top Bottom