donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,085
- 21,556
Vin Diesel ameonekana akiwa na tattoo ya macho ya mchizi wake the late paul walker. Kweli he was his bestfriend...
IndeedTrue love never die!
, if die never smell; and if smell, smells perfume.True love never die!
R.I.PHuo ndo urafiki asee.
R.I.P Walker
Dooh mkuu mbona umewaza mbali ivooohoo, kumbe ni yule jamaa aliyefariki? nikajua jamaa kamuweka mtu ili ajione akiwa anampumulia.
Mkuu una imani ya kirastafarai nn, if die never smell; and if smell, smells perfume.
safi sana
Kweli kabisa mkuunzuri,pia kuna namna nying za kuenzi au kuonesha mapenz ya kweli kw rafik.
Its takes more than a friend to be a best friendUkiwa unacomment uwe na ww unajiuliza kama una best friend wa kumuweka tatoo. Personally SINA...!!! Nimegundua most of those I thot were my friends, wameniumiza sn. So I don't need one. Tuwe marafiki tu, maisha yaendelee.
, if die never smell; and if smell, smells perfume.
Hapana, sina hata chembe.Mkuu una imani ya kirastafarai nn
haya mambo ya kumchora mtu tatoo mara nyingi ipo kwa opposite sex.Dooh mkuu mbona umewaza mbali ivo