Mshkaji wa ukweli....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
Vin Diesel ameonekana akiwa na tattoo ya macho ya mchizi wake the late paul walker. Kweli he was his bestfriend...
1480946312846.png
 
oohoo, kumbe ni yule jamaa aliyefariki? nikajua jamaa kamuweka mtu ili ajione akiwa anampumulia.
 
nzuri,pia kuna namna nying za kuenzi au kuonesha mapenz ya kweli kw rafik.
 
Ukiwa unacomment uwe na ww unajiuliza kama una best friend wa kumuweka tatoo. Personally SINA...!!! Nimegundua most of those I thot were my friends, wameniumiza sn. So I don't need one. Tuwe marafiki tu, maisha yaendelee.
 
Its takes more than a friend to be a best friend
 
Mwanamume kukabidhi Mgongo wako kuchezewa kwa kuchorwa chorwa ni dalili ya Mdororo wa Uanamume wako!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom