Mshituko wa kuachwa moyoni umeleta nyufa

Cpati picha huyo dada alijisikiaje na ana hali gani kwa sasa
Usikute anakula tu maisha na mwana mwingine
Amekwisha msahau jamaa, anasema sasa ana mwanaume mashine
Usipime, huyu mwingine, anavyompa love na mapene
Kufa kwa ajili ya kumpenda mtu ni uzembe shime shime
 
Usishangae mtu kufa kisa mapenzi kitu mapenzi ni hatari sana kama auwezi kuvumilia maumivu
 
Mapenzi mapenzi,wengi sana ni wahanga wa hii kitu
 
Muumba amlaze mahala pema .Sometimes inabidi moyo ukubali tu matokeo
 
jamaa kakata moto kizembe sana, kupenda gani kiboya hivo.

lawama zije kwenu pia kwa kushindwa kumpa porojo hadi kumsahamu huyo demu.

R.i.p ziko chache sana, siwezi mpa huyo jamaa kafa kizembe sana.
 
Mkuu ww ni bahili hatari paka neno tu utaki kutoa kifo ni kifo
 
Back
Top Bottom