Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,761
- 2,672
Habari wakuu.
Nimepata uwakala wa Accounting software moja toka South Africa ambayo ni web based, yaani online hahiitaji server,watumiaji zaidi ya mmoja kila mmoja akiwa na password yake,kucreate zaidi ya kampuni moja,wala uhitaji kufanya backup, unaweza kuimport file la excell mfano budget, ambayo mtumiaji anaweza itumia kwenye compyuta na kwenye simu au ipad.Ambayo ni cheapest software in ERP market( 15 usd per month).
Kuna changamoto za mtaji wa kutanua biashara kulingana na business plan iliyopo.
Hivyo naomba Mshirika ( Partner) tukae chini na kuweka win-win partnership.
Simu:0713-039875