Mshindi wa BBA Idris

Kama ni banglow tena Afrikana, hyo itakuwa imeisha yote.Labda kama Salasala au Kinzudi.
 
kweli mkuu high return,high risk and the vise versa
 
He he he ukimjadili msanii kwa mambo muhimu unaitwa hater
Kiukweli inabidi atafute marafiki wenye vision na sio Hawa bongo movie wao wawewanakutana samakisamaki na club
 
He he he ukimjadili msanii kwa mambo muhimu unaitwa hater
Kiukweli inabidi atafute marafiki wenye vision na sio Hawa bongo movie wao wawewanakutana samakisamaki na club

Kuna watu ni waajabu sana.. Ila wanakuwaga wa kwanza kusema wakati anapoishiwa
 
Africana pale round about kabla hujafika Jangwani..

Kama ni maeneo hayo nina imani hyo hela itakuwa imeisha labda km si banglow kama alivyosema mchangıaji.Maeneo hayo viwanja pekee vinakwenda hadi ml 100-150.
 
That would be a good move... Akina Donald Trump ni matajiri wakubwa duniani kwa Real Estate Business.. And the good thing baada ya kuinvest kwenye hizo nyumba una uwezo wa kukopa na kuendeleza biashara zako zingine.
KWELI.WAWEZA TUMIA nyumba kama collateral security kupata hela zaid.its a best investment
 
Kama ni maeneo hayo nina imani hyo hela itakuwa imeisha labda km si banglow kama alivyosema mchangıaji.Maeneo hayo viwanja pekee vinakwenda hadi ml 100-150.

Kama nitaipata nitakuletea hapa uione
 
Abet.

Ampe Leo cap bayen na arsenal inakuja odd 2.
Akiweka mpunga wote ni bilioni moja
 
Abet.

Ampe Leo cap bayen na arsenal inakuja odd 2.
Akiweka mpunga wote ni bilioni moja

Hahahahaha anabet nae.. Niliona tweet yake akishukuru Man U kumpa mshiko siku wamekipiga na Sunderland
 
Hii biashara Mkuu Steph Curry ukitulia ni biashara nzuri sana na soko lake linaweza kuwa mpaka nje ya mipaka ya Tanzania. Tumuombee afanikiwe labda siku moja anaweza kuwa na soko hata kwenye mabara mengine ya dunia yetu.
 
Last edited by a moderator:
Sijaziona hizo pamba ni clothing line au ni T-shirts? Kutengeneza Tshirt hata 10 mill haita chukua.
 
Mkuu BAK ni biashara nzuri sana lakini kwa utamaduni wetu waafrika atachelewa kifika anakotaka.. Nimeshuhudia clothing line nyingi zikianzishwa zinakufa. Angalia akina Diamond na Weusi wala haiwalipi kiivo.

Lakini tusubiri tuone unaweza ikaanza kufanikiwa kupitia yeye
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Najua umeanzisha uzi huu kwa nia njema kabisa Mkuu, tusubiri tuone ila anatakiwa ajipange sana pamoja na kuwa ni biashara nzuri kama wateja hawaridhiki na bidhaa husika basi inaweza kuwa ngumu sana kupiga hatua kubwa.

Sijaziona hizo pamba ni clothing line au ni T-shirts? Kutengeneza Tshirt hata 10 mill haita chukua.

Anataka kuanzisha clothing line yake ila kaanza na T-shirts kwanza
 
Watu gani wa madini unaowazungumzia?..labda nyoka wanaozama shimoni, lakini watu wa madini naowafahamu mimi wanabiashara zao kubwa tu, sijuwi wewe unaposema "watu wa madini" unamaanisha wapi!
Wewe akili yako inakwambia ni sawa kuwekeza 500M halafu upate mauzo ya 1.2M kwa mwezi?!!! Na hiyo siyo faida, ni mauzo tu, haujafanya matengenezo, haujalipa kodi ya serikali, hiyo ni biashara kichaa, hakuna mchumi atakayekushauri hilo. Sisi watanzania wavivu sana, huwa tunajifariji na "UTAPUNGUKIWA NINI", tunasahau kujiuliza "nitagain kiasi gani", tunapenda urahisi, kuvuna pesa tukiwa tumekaa kibarazani tunakunywa kahawa, ndiyo maana mtu akistaafu annunua hiace, ndiyo biashara anayoona rahisi, kumbe amewekeza milioni karibia 30 analetewa mauzo ya elfu 50 anazidiwa mbali sana na mchoma chipsi aliyewekeza milioni moja analala na faida ya laki 2 kwa siku! Wabongo hatutaki shurba na mahangaiko, tunapenda miteremko!
 
Kama ni maeneo hayo nina imani hyo hela itakuwa imeisha labda km si banglow kama alivyosema mchangıaji.Maeneo hayo viwanja pekee vinakwenda hadi ml 100-150.

Wanasema hajanunua amepewa, sina hakika na hilo. Lakini kwa bei za nyumba maeneo hayo kama amenunua pesa zitakuwa zimeisha, lakini kwa jinsi navyomuona anajielewa hawezi kuwa amenunua.
 
Sijaziona hizo pamba ni clothing line au ni T-shirts? Kutengeneza Tshirt hata 10 mill haita chukua.

Ameanza na "tisheti" kaka, kama zilezile za kila mtu, lakini nadhani anajipanga:eyebrows:
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…