MSHINDI NANI ATAKUWA HAPO?

Sina muda wa kukunja ngumi ni Mkanda wa kichwa kila mtu anaenda kutekeleza ilani yake huko mbele ya safari.
 
Namhurumia sana aliyevaa kiraia maana hachelewi kugeuziwa kibao kuwa ni gaidi...
 
Unampiga alafu unamvua nguo zote anabaki na bukta tu, alafu unamrusha kichura chura mpaka kwa Muroto au Lugola
 
Hapa kamanda lazima achezee vibanzi.Amekutana na Ninja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…