Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
You raised 5k$ to over 150k$ in less than 3 years, I appreciate that.
Okay,,, WHAT DO YOU DO AND HOW DO YOU DO IT?
 
Bahati mbaya hata hapa tunaoneshwa success tu, mbaya zaidi success zenyewe $50/100/200 haishawishi hata kidogo.
Kuna mnyakyusa mmoja humu aliwahi fungua thread account yake ilikuwa na $100k tena alificha tu jina la kwanza. Alisema ameiraise in 2 months from something less than $1000...


Naye alionesha kama ushuhuda... bahati mbaya nimeisahau ile thread

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Una kazi
 
Najiulizaga maswali, kama forex dili kweli watz wasingeigundua mapema?
Kama Forex dili kwanini nguvu kubwa inatumika kuipromote?
Kama haina shida kwanini kuna malalamiko?


NB: Jamaa yangu anatrade cha ajabu anashindwa hata kulipa buku kama malipo ya gym tunayofanya mazoezi
 
Wewe hujamwelewa huyo rafiki yako, hapo amenunua nyumba kupitia hiyo forex sasa anahamishia vitu vyake kwenye hiyo nyumba kidogo kidogo😁😁😁😁
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…