Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo


Zero IQ

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
7,575
Likes
10,499
Points
280
Zero IQ

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2016
7,575 10,499 280
Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,

Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,

Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,

Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,

Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,

Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
827
Likes
378
Points
80
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
827 378 80
Please Traders fanyeni kazi. Mwaka ndio huu umeanza na Leo Ni tarehe 2. Hata mungu anaona tunavyojitahidi kutumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni ya kuwajenga wenzetu kuhusu forex.Sijawahi kusikia forex trader anamlalamikia raisi magufuli kuwa kabana ajira. Forex ni career. Ni kazi Kama kazi zingine. Please tujikite na soko. Najua kama wewe ni true forex trader unaelewa nini unafanya. Usiyumbishwe na mtu. Usitumie muda mwingi kujustify forex ni nini kwa "mpumbavu" tena.


Ni bora muda huo uutumie kuchambua soko na pairs zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una kazi
 
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
827
Likes
378
Points
80
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
827 378 80
Najiulizaga maswali, kama forex dili kweli watz wasingeigundua mapema?
Kama Forex dili kwanini nguvu kubwa inatumika kuipromote?
Kama haina shida kwanini kuna malalamiko?


NB: Jamaa yangu anatrade cha ajabu anashindwa hata kulipa buku kama malipo ya gym tunayofanya mazoezi
 
Augustine Genius

Augustine Genius

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2016
Messages
405
Likes
222
Points
60
Augustine Genius

Augustine Genius

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2016
405 222 60
Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,

Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,

Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,

Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,

Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,

Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.


Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujamwelewa huyo rafiki yako, hapo amenunua nyumba kupitia hiyo forex sasa anahamishia vitu vyake kwenye hiyo nyumba kidogo kidogo😁😁😁😁
 
42774277

42774277

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Messages
232
Likes
261
Points
80
42774277

42774277

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2018
232 261 80
Mimi mwenyewe na trade in forex lakini sina muda wa kumshawishi mtu. Anayetaka aifanye, hasiyeitaka aache
Hata kwenye mataifa makubwa wapo wengi tu wasioijua.

Hakuna anayeipromote ila sisi tukikaa na kuanza kujadili mada zetu nyie mnakuja na hoja zenu uchwara.

Malalamiko ni kwa watu wanaoingia kichwakichwa bila kufanya research yoyote.

Mwisbo wa yote kama jamaa yako .anakijua anachokifanya basi kuna siku utakuja kuyaonea aibu haya uliyoyaandika humu. Unless kama anagamble, maana kuna very thin line kati ya kufanya forex na kugamble

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Slowly

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
1,403
Likes
1,908
Points
280
Slowly

Slowly

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
1,403 1,908 280
Mkuu kama unataka kufanya biashara yoyote ( Si tu Forex ) Kwasababu umesikia mtu ametengeza kiasi kadhaa Kwa wiki au mwezi upo katika dalili za awali za kupata hasara katika biashara hiyo kabla ya kuanza biashara.


Sijawahi kusikia Mfanyabiashara yoyote duniani aliefanikiwa alijiingiza kwenye biashara kwasababu za kuvutiwa na kiwango cha Pesa alichosikia kimetengenezwa na MTU flani. Ukiingia kwenye biashara yoyote kwa mantiki hiyo lazima ulie mwisho wa siku. Unakumbuka waliovamia biashara ya matikiti, Mayai ya kwale n.k.. Kawaulize sasa hivi kilichowakuta. Wengine waliambiwa heka moja ya matikiti unaweza kupata million 30.Hata wale walioenda pale kWa Ontario nilijua kuanzia mwanzo wengi watapata hasara. Kwasababu wengi walijiunga na forex kwa vigezo kama vyako.


NB: Nakuomba utafute maarifa mitandaoni. Kama ni mvivu wa kusoma itumie YouTube vizuri. Hakuna ambacho hakipo YouTube. Mimi asilimia zaidi ya 80 ya knowledge ya Forex nimejifunza mwenyewe kwa msaada wa YouTube na Vitabu. Kutoka YouTube kuna MTU anaitwa Adam Khoo huyu ndio kanisaidia sana sana. Nadhani ni RAIA wa Indonesia. Ana video yake kule ya forex introduction lazima uelewe.NB: Forex sio biashara ya kupata biashara haraka kama unavyodhani. Tembelea tutorial zote za waliofanikiwa lazima uambiwe hiki. Kufanikiwa haraka ni wewe tu na knowledge yako. Kuna Jamaa namfahamu mwezi December kaweka capital ya USD 1000 na Leo tunavyozungumza ana USD 12,000... Ila kuna wengine kwa kiasi hicho hicho mpaka sasa wameshachoma account. Nadhani kwa huo mfano utakuwa umejifunza kitu.

Lastly usiingie kwenye forex kwa kushawishiwa na posts za profits. Ingia kwenye biashara kwa kuelewa biashara ilivyo. Hizo Pesa ni matokeo ya juhudi zako tu.
Amini nakwambia siku ukija kujua real Forex ilivyo, utajikataa mwenyewe. Achana na hii ya WALIMU uchwara wa kufundishana kila siku support & resistance, etc.Jifue mwenyewe halafu ulete mrejesho hapa.


Have a good Blessed Sunday.
Regards.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuteseka sana na shughuli za manamba (Manual work) nilikaa chin nikatafakari....nikaona kutusua sio lazima uteseke aisee....nikaanza kufanya mishe soft lakn zinaingiza pesa..watu wakawa wanashangaa mshikaj nang'aa tu kitaa....Kwa sasa Forex nainyatia , kwa mtu makni ni fursa...najua itasumbua somehow..ila mwisho wa siku nitakuwa naingiza pesa huku nimekaa, taratibu nakunywa juice ya Azam embe.....mambo ya kujiloweka kwenye tope na kilimo cha matikiti nimewaachia wenye vipaji vyao
 
M

Mzee Mukaruka

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Messages
398
Likes
142
Points
60
M

Mzee Mukaruka

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2012
398 142 60
Nyie ndo wale mkikanyagwa bahati mbaya afu mkaambiwa sorry mnarusha maneno na ngumi kabisa...jamaa si kasema mniwie radhi walokole au inamaanisha nini hiyo sentensi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliyempiga yeye wala hoja zake; nilichokuwa nafanya ni kutoa elimu ndogo na ufafanuzi sahihi juu ya hilo neno "walokole" basi. Hakuna ugomvi on anything else bro.
 
DanielStephens

DanielStephens

Member
Joined
Nov 22, 2018
Messages
5
Likes
4
Points
5
DanielStephens

DanielStephens

Member
Joined Nov 22, 2018
5 4 5
Nyie ndo wale mkikanyagwa bahati mbaya afu mkaambiwa sorry mnarusha maneno na ngumi kabisa...jamaa si kasema mniwie radhi walokole au inamaanisha nini hiyo sentensi

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiingii akilini kama mtu atakuomba msamaha kabla ya kukukanyaga ndipo akakukanyaga kimsingi lazma uongee kama uko timamu na alichokua anakifanya bro hapo nafikiri nkutoa elimu kuhusu wokovu ambayo ndugu yetu kaikosa ndio sababu akafananisha wokovu na vitu vya kijinga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daud1990

Daud1990

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2014
Messages
5,766
Likes
7,914
Points
280
Daud1990

Daud1990

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2014
5,766 7,914 280
Baada ya kuteseka sana na shughuli za manamba (Manual work) nilikaa chin nikatafakari....nikaona kutusua sio lazima uteseke aisee....nikaanza kufanya mishe soft lakn zinaingiza pesa..watu wakawa wanashangaa mshikaj nang'aa tu kitaa....Kwa sasa Forex nainyatia , kwa mtu makni ni fursa...najua itasumbua somehow..ila mwisho wa siku nitakuwa naingiza pesa huku nimekaa, taratibu nakunywa juice ya Azam embe.....mambo ya kujiloweka kwenye tope na kilimo cha matikiti nimewaachia wenye vipaji vyao
Safi sana mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
debless

debless

Member
Joined
Jan 8, 2016
Messages
79
Likes
29
Points
25
Age
49
debless

debless

Member
Joined Jan 8, 2016
79 29 25
Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
827
Likes
378
Points
80
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
827 378 80
Sizungumzii forex bali hilo jina au neno "walokole au ulokole". Neno hilo halina maana wala uhusiano na sisi TULIOMKIRI NA KUMPOKEA YESU KRISTO ALIYE HAI KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YETU. Hilo ni jina au neno analotumia Shetani na mawakala wake kutaka kuudharirisha WOKOVU WETU. Na kwa kweli kwa kiasi fulani kafikia lengo lake ingawa hatafanikiwa milele. Sisi SIO WALOKOLE bali SISI NI WANA WA MUNGU TULIOPOKEA NEEMA YA WOKOVU, NI WATU TULIO OKOKA.
Ona hili nalo
 
spacecraft

spacecraft

Member
Joined
Dec 29, 2016
Messages
46
Likes
28
Points
25
Age
21
spacecraft

spacecraft

Member
Joined Dec 29, 2016
46 28 25
Nimepitia comment nyingi sana,ila mwisho wa siku kama kitu anakifanya fulani na kinamuingizia kipato sio lazima na wewe ufanye,fanya chako maisha yaendelee ,hakuna haja ya kujitetea after all no body will feed you when you will be broke...dawa ya kuonesha unachofanya kinalipa ni maendeleo tu...na hakuna watu ambao unatakiwa kuwa nao makini ukiwashirikisha fursa kama watanzania...watanzania waoneshe mafanikio kwanza ndo mtazungumza lugha moja....MWISHO..biashara yoyote bila kuwa na elimu tosha basi huna unachokifanya....risk is everywhere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
827
Likes
378
Points
80
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
827 378 80
Hii nchi imejaa misukule... Nchi ina RAIA million 50+ lakini amini nakwambia kati ya idadi hiyo ni raia hawazidi 1000 wenye sifa za kuitwa binadamu. Mingine yote iliyosalia ni Mi swala,Nyumbu na misukule ya kuswagwa na fimbo.


Nchi Bado ina safari ndefu ya kuwageuza hii misukule kuwa binadamu Kamili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ndicho kinanishangaza

Mbona nguvu inayotumika kubwa sana?
Mtu akikataa fursa shida iko wapi mpaka ujae upepo?
 

Forum statistics

Threads 1,249,898
Members 481,140
Posts 29,714,308