Mshika mawili moja humponyoka yamenikuta

Pole sana Muda mwingine unatakiwa kuomba ushauri kabla. Ili upewe muongozo hususani unapokuwa na wake zaidi ya wawili.

Kuna malegends wanajua namna ya kuwaendo na si kwenda pupa kama ulivyofanya

Wewe rudi Dar ujipange upya umeshapuyanga.
Hahahahah kwa kupunguza machungu aende zake Redstone tu kisha aopoe mlupo akautie kupunguza ugumu.
 
Back
Top Bottom