Mshika mawili moja humponyoka yamenikuta

Atukuzwee

Senior Member
Aug 6, 2017
113
211
Habari wandugu

Niseme tuu hii sikukuu kwa upande wangu imekaa vibaya sana mimi naishi Dar nina mwanamke Arusha na Moshi sasa nikawapanga wote tukulane hizi sikukuu wakakubali.

Jana nikafunga safari kutoka Dar nikaanza na wa Moshi den leo na kesho niwe na wa Arusha maana wa Arusha hatujawahi kusex wa Moshi tumeshakulana.

Jana nikamsetisha mtoto wa Moshi maana nilifika saa 8 mchana mtoto kaja mida ya jioni nikasema ngoja kwanza nile halafu ndio tuwende daah lilikua ndio kosa kubwa.

Tukaenda kula ile tukaribia kumaliza mwanamke wa Arusha akawa anapiga sana simu sipokei kumbe demu alikua anaona tuu demu akaendele kupiga daah ikabidi nipokee bana kosa la pili demu akanza kuni mind mbona sipoke simu niko na malaya zangu wee demu wangu akasikia maana aliniambia niweke loud speaker wee wakaanza kujibizana nikakata simu.

Demu wa Moshi ambaye nilikua nakula nae akaacha msosi akaondoka akaniacha simu hapokei na kasema mimi na wewe tusijuane wa Arusha nawe hivo hivo.

Kwa hapa nipo najaribu kumbembeleza mmoja ambaye atakaeleweka nikamzagamue akigoma basi kesho narudi Dar.

Wadau mniombee hata mmoja abadilishe mawazo nitaleta mrejesho hapa hapa maana nimetumia gharama na muda wangu daah.
 
Mkuu usisau tu kutumia condom , ukimwi bado upo na una ua mkuu cheza kama pele.
20230331_231747.jpg
 
Habari wandugu

Niseme tuu hii sikuku kwa upande wangu imekaa vibaya sana mimi naishi dar nina demu Arusha na moshi sasa nikawapanga wote tukulane hizi sikuku wakakubali

tta mrejesho hapa hapa maana nimetumia garama na mda wangu daah.
Watoto wa kiume wa Dar ndio mlivyo, unakwamaje kuweka ✈ mnatutiaga aibu sana nyie watoto 😡😡😡
 
Habari wandugu

Niseme tuu hii sikuku kwa upande wangu imekaa vibaya sana mimi naishi dar nina demu Arusha na moshi sasa nikawapanga wote tukulane hizi sikuku wakakubali

jana nikafunga safari kutoka dar nikaanza na wa moshi den leo na kesho niwe na wa Arusha maana wa arusha hatujawahi kusex
wa moshi tumeshakulana.

jana nikamsetisha mtoto wa moshi maana nilifika saa 8 mchana mtoto kaja mida ya jioni nikasema ngoja kwanza nile alafu ndo tuwende daah lilikua ndo kosa kubwa.

tukaenda kula ile tukaribia kumaliza demu wa Arusha akawa anapiga sana simu sipokei kumbe demu alikua anaona tuu demu akaendele kupiga daah ikabidi nipokee bana kosa la pili demu akanza kuni mind mbona sipoke simu niko na malaya zangu wee demu wangu akasikia maana aliniambia niweke loud speaker wee wakaanza kujibizana nikakata simu

demu wa moshi ambaye nilikua nakula nae akacha msosi akaondoka akaniacha simu hapokei na kasema mimi na wewe tusijuane wa Arusha nawe hvo hvo

kwa hapa nipo najaribu kumbembeleza mmoja ambaye atakaeleweka nikamzagamue akigoma basi kesho narudi dar.

wadau mniombee hata mmoja abadilishe mawazo nitaleta mrejesho hapa hapa maana nimetumia garama na mda wangu daah.
Acha utoto, hii hadithi wapelekee shuleni.
 
Unajua kuna features kama vibration, silence na Airplane mode kwenye simu. Kosa lako la kwanza ni kutokumia moja kati ya hizo.

Kosa la pili ni kuweka simu yako ionekane ukiwa na mwanamke wako. Simu siku zote inakaa mfukoni.

Kosa la 3 na kubwa zaidi ni kushurtishwa kupokea na kuweka simu loudspeaker na mwanamke na wewe kama mwanasesere ukakubali. Umeonyesha udhaifu mkubwa.

Kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja sio fani yako mkuu, tafuta mmoja utulie nae.
 
Habari wandugu

Niseme tuu hii sikuku kwa upande wangu imekaa vibaya sana mimi naishi Dar nina mwanamke Arusha na Moshi sasa nikawapanga wote tukulane hizi sikuku wakakubali.

Jana nikafunga safari kutoka Dar nikaanza na wa Moshi den leo na kesho niwe na wa Arusha maana wa Arusha hatujawahi kusex wa Moshi tumeshakulana.

Jana nikamsetisha mtoto wa Moshi maana nilifika saa 8 mchana mtoto kaja mida ya jioni nikasema ngoja kwanza nile alafu ndo tuwende daah lilikua ndo kosa kubwa.

Tukaenda kula ile tukaribia kumaliza mwanamke wa Arusha akawa anapiga sana simu sipokei kumbe demu alikua anaona tuu demu akaendele kupiga daah ikabidi nipokee bana kosa la pili demu akanza kuni mind mbona sipoke simu niko na malaya zangu wee demu wangu akasikia maana aliniambia niweke loud speaker wee wakaanza kujibizana nikakata simu.

Demu wa Moshi ambaye nilikua nakula nae akacha msosi akaondoka akaniacha simu hapokei na kasema mimi na wewe tusijuane wa Arusha nawe hvo hvo.

Kwa hapa nipo najaribu kumbembeleza mmoja ambaye atakaeleweka nikamzagamue akigoma basi kesho narudi Dar.

Wadau mniombee hata mmoja abadilishe mawazo nitaleta mrejesho hapa hapa maana nimetumia garama na mda wangu daah.
Sa itakuwaje?
😖
 
Unatumia mbinu Gani kupata mademu wote wawili?
 
Back
Top Bottom