Mshaurini dada yetu jamani

Lakini usisahau kuwa kuna uwezekano dada naye anapush unreasonably? Kama inakuwa hivyo kijana anaweza kuatafuta jinsi ya kujibu. Mwiso Kuhamia kwa dada siyo issue. Kama binti ana nyumba fresh kwa nini mwende guest?
sure.........kwa nini mwende gesti ku-
 
Lakini mbona hatujiulizi swali la msingi hapa. Huyo jamaa kwa macho ya wengi (humu ndani ya JF) anaonekana kuwa ni CRAP. Sasa huyo dada kampendea nini? Baada ya hapo tunaweza kutoa ushauri ambao ni rational!
 
Hakuna ndoa hapo wanawake wa kikongo na wanaume wao wanafanana ...Mwambie dada akae mguu pande mgaa sawa kushoto geuka
 
Lakini mbona hatujiulizi swali la msingi hapa. Huyo jamaa kwa macho ya wengi (humu ndani ya JF) anaonekana kuwa ni CRAP. Sasa huyo dada kampendea nini? Baada ya hapo tunaweza kutoa ushauri ambao ni rational!
Ndombolo!
 
Labda anamburudisha dada vya kutosha u neva know
 
Mimi simshauri kabisa kuuza nyumba yake, mwambie asithubutuuuuuu, kama huyo mchumbae yupo radhi waendelee kukaa palepale au wakapange nyumba kubwa mpk watakapojenga yao.
 
Lakini mbona hatujiulizi swali la msingi hapa. Huyo jamaa kwa macho ya wengi (humu ndani ya JF) anaonekana kuwa ni CRAP. Sasa huyo dada kampendea nini? Baada ya hapo tunaweza kutoa ushauri ambao ni rational!

LOVE IS BLIND:nono::nono::nono: no Labda wanataka kuanzisha bendi na anachezeshwa kisanola na jamaa
 
Labda anamburudisha dada vya kutosha u neva know

Kwa hili wadada mnatakiwa muwe makini nalo, sio wakongo tu hata wabongo me nimewasikia kwa masikio yangu matatu wanasema wao wanachohakikisha wanakupa burudani ya kutosha mpaka mshahara wako na vyanzo vyako vyote vya mapato unampa yeye avipangie matumizi akishajijenga anasepa. So ladies be carefuloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
HA HA HA HA HA HA maty umenifurahisha sana hiyo tunaita unajitoa muhanga panda mbegu leo uvune mara mbili yake kama DECI vile
 
HA HA HA HA HA HA maty umenifurahisha sana hiyo tunaita unajitoa muhanga panda mbegu leo uvune mara mbili yake kama DECI vile

Well said bro yaani kama DECI Kaka umenikumbusha deci machozi yananilenga mwe vicenti vyanguuuuuuuuuuuuuuuuuuuu misba mingine yakujitakia ila lol
 
LOVE IS BLIND:nono::nono::nono: no Labda wanataka kuanzisha bendi na anachezeshwa kisanola na jamaa

Unaona sasa...Wengi hapa mnashauri eti amwache...huo muziki anaomchezesha mtauweza i.e mtaweza kuvaa viatu vya Mkongoman?

Maty,

Unajua mimi nawashangaa sana. Kwani duniani tutafuta nini kama siyo maximum utility pale inapowezekana? Sasa huyo dada kama anaipata kwa nini asilipie kwa kuachia kila kitu hata ikibidi kutoa hiyo nyumba? Na kama anajua kuwa ni suala la muda poa tu. Labda kama hajui ndio mnaweza kumshauri. Kwanza nadhani alianza kuchanganywa na watu wa nje wanaodai eti kaoa. Mimi sioni tatizo. Mwache dada wa watu atese na Nzawisa..ndombolo..kwasa kwasa...you name it..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…