Maty,
Mbona una sahau kanuni rahisi za maumbile? Kama simba angekuwa anapenda mizoga angehangaika nini kuwinda tena katika mazingira hatarishi? Pride ya mwanamume ni kuangusha kitu cha nguvu...financially, urembo etc.
[/SIZE][/B]
halafu ukitoka hapo unakidump me cjaelewa bado
dada yako kashaamua kulea sasa anlialia nini tena?mwambie na hiyo nyumba amwandikishe jamaa kabisa, na wadogo zake huyo mkongo awaambie wahamie hapo hapo nyumbani ili akatikiwe ndmbolo vizuri,na ikiwezekana waanzishe na bendi kabisa😛eep:
Hivi wewe unafanya kazi mbili kwa wakati mmoja? When one mission is done, that becomes the starting point of the second. Hapo sasa. Second mission inaweza kuwa ni kutafuta kitu kingine kikali zaidi au ku-stick na hicho na kujishawishi akilini mwako kuwa hakuna mkali kama huyo...naturally wanaume tunaishi kwa kujiaminisha kuwa tumefika Kigoma mwisho wa reli hata kama ki-ukweli siyo.
Kwahiyo unaendelea ku DARE FOR MORE
Mungu hawezi kufananishwa na kitu chochote, kama amekujalia wewe mwanamama kipato ni ili ukitumie wewe na mumewo na wototo wako; kwa maana nyingine wewe umetumika tuu. Au ulitegemea uwe na kipato na ujaliwe kuwa na mume mwenye kipato, kusingekuwa na maelewano huko ndani maana wote mngejiona mafahari. Mshukuru Mungu kwa kukupa uwezo wa kumtunza mumewo!!!
Lakini sio mkongo bora awe mbongo mwenzangu nitamfikiria
Vijana wanaendelea...sisi yetu macho!
Unajua macho na yenyewe huwa yanakula ingawa macho sio mdomo
Maty unaanza ubaguzi wewe. Kwani akiwa Mkongo au Mbongo wewe unapenda kabila/taifa au umaridadi wa kitu?
Hawa watu i know them very well achana nao kabisaa DC mimi naona dada wa watu kaumia sijui lakini perception inaweza ikawa tofauti
Hivi wewe unafanya kazi mbili kwa wakati mmoja? When one mission is done, that becomes the starting point of the second. Hapo sasa. Second mission inaweza kuwa ni kutafuta kitu kingine kikali zaidi au ku-stick na hicho na kujishawishi akilini mwako kuwa hakuna mkali kama huyo...naturally wanaume tunaishi kwa kujiaminisha kuwa tumefika Kigoma mwisho wa reli hata kama ki-ukweli siyo.
Mh haya si yetu macho
Mbona lakini hamyaki kunijibu? Ina maana hakuna hata Mkongo mmoja aliyeoa Mtanzania (au kuolewa) na wakawa na ndoa safi? Katika maisha ya kawaida hata 0.1% in maana sana. Hebu nambia kama wakongo wote (100%) ni vibudu?
DC katika ya hao 100% ni kama aslimia 2 wanaweza wakawa hawana hii tabia tunayoizungumzia ila the rest 98% ya wakongo ndio tabia yao wanapenda sana kulelewa
Sasa kuna uhakika gani kwamba mume wa huyu dada hayuko kwenye hao 2%?
Sasa wewe mwanaume bwana utademand vipi kuhamia kwa mwanamke halafu akili ya jamaa ilivyo mbovu anamwambia mwanamke wauze nyumba wakapange kwanini this guy asirudi kwenye chumba chake alichopanga kama sio kutaka mteremko ni nini ndio hapo sasa hata kama hana hizo tabia then people start thinking about you the other way round
Lakini usisahau kuwa kuna uwezekano dada naye anapush unreasonably? Kama inakuwa hivyo kijana anaweza kuatafuta jinsi ya kujibu. Mwiso Kuhamia kwa dada siyo issue. Kama binti ana nyumba fresh kwa nini mwende guest?