Mshaurini dada yetu jamani

yote yote ckubaliani na ushauri wa huyu kaka kwamba mdada auze nyumba yake wajenge nyingine, hapo anamtafuna pole pole.

Nyamayao huyu jamaa amekaa kikazi zaidi hilo sio swala la kuuliza mwanaume mzima hauwezi kuhamia na nguo zako kwa mwanamke that show lack of responsibility, huyu anataka amtengenezee dada wa watu halafu asepe AWE MAKINI asije akamwaga chozi mbeleni
 
acjerubunika huyo dada, kaam unakaa kwangu jua ni kwangu na ndugu zangu lazima wajue upo kwangu, kama unaona haifai ndugu kujua bac tukapange tuanze moja.
Hii kali!
Mama mtoto wangu mbona umekuwa mkali hivi?
Ukikubali kudhalilika kuishi kwa mwanamke ndiyo tabu yake hii!...Utamaduni wa namna hii haukubaliki kiafrica...Ni pedeshee gani huyo anaeshindwa hata laki moja ya kupanga vyumba viwili!!
 

Ndo yale yaleeeeeeeee!!!!mwanamke unapenda B/F kwasababu ni handsome!haya itafune sasa hiyo sura yake!!!!!!
 

yaani wewe mie ckuwezi.....wananimaliza kwenye kujichubua tu, cjui na mdada kampata wa hivyo, hapo mie wananitia kinyaa sana.
 

Rose hii kama ya rafiki yangu vile na gari alimpa na ndoa ilifungwa kumbe jamaa alikuwa na mke Congo palikuwa hapatoshi
 
Huyo dada anahitaji mtu wa kumkumbusha kuwa hapo amechemsha,hajui kuwa mkongo akishindwa kwenda ufaransa basi atakuja bongo?Na akifika anakuwa kimaslahi zaidi ni kama sisi tunavyokwenda USA na Europe basi na wao ndio wanavyoitazama bongo,hapo amkimbize tu wala asisubiri kutafuta nyumba ya kupanga.
 
Tatizo la kupenda foreigners litawaponza akina dada!!!!!!!!!! mnaona sasa. Eti aonekane matawi ya juu. Huyu dada alipoingia ni pabaya mno. Akina dada hawa ndo wale wanaosema sina mpango na wabongo kama walioko hapa arusha ambao kazi yao ni kuwekwa kinyumba na wazee wa kizungu na wakirudi Ulaya siku hizi hawaachi hata kijiko. Wewe ulimwachaje MKONGO mpaka akaingia ndani ungeomba ushauri kwa Mashosti zako kwanza. Ukifikiri una suprise watu kumbe umejisuprise mwenyewe
 
Hii kali!
Mama mtoto wangu mbona umekuwa mkali hivi?
Ukikubali kudhalilika kuishi kwa mwanamke ndiyo tabu yake hii!...Utamaduni wa namna hii haukubaliki kiafrica...Ni pedeshee gani huyo anaeshindwa hata laki moja ya kupanga vyumba viwili!!




baba mtoto....wacha tu, huoni huyu mkongo anataka kutuongezea matatizo kwenye jamii, kulia lia kutendwa etc...hapana, hapo tu pakuniambia tuuze nyumba tujenge nyingine nadhani ingeshanipa akili nyingine juu ya huyo mchumba...hata hivyo kwa jamii yetu mwanaume kuishi kwa mwanamke haipendezi.
 
Dah! Dada huwajui wakongo wanapenda kulelewa? Na atakuchuna mpaka uijue dunia, huwa hawana mapenzi ya kweli hao wapo kimaslahi zaidi. Kutoa posa si haja, rafiki yangu alimtaka demu mmoja kwa udi na uvumba pale Handeni Tanga demu akadai hataki kuchezewa na wanaume. Basi jamaa akatoa posa na mahali akalipa baada ya hayo demu akaachia vitu jamaa akala mzigo kilainiiiiii baadae akamwaga. Na tulilipa mahali laki tatu unusu.

Kaa chonjo! Mi nikikutaka hata kwenu nitakuja na mahali nalipa si nataka utamu?
 
Hii kali!
Mama mtoto wangu mbona umekuwa mkali hivi?
Ukikubali kudhalilika kuishi kwa mwanamke ndiyo tabu yake hii!...Utamaduni wa namna hii haukubaliki kiafrica...Ni pedeshee gani huyo anaeshindwa hata laki moja ya kupanga vyumba viwili!!

Pedeshee mdomo
 

wanaume jamani....yani unahangaika hivyo kisa kumvua mtu gagulo....kazi ipo kwa kweli.
 
na umwambie ajitayarishe kuombwa kupeleka NJEMBA kwa woolworth ma maboutiqu mengne makubwa makubwa!
IVI JAMAN INAKUWAJE UNAISH NA MWANAUME AMBAYE MNASHARE PODA???..ahhhhhhh ndo manake yeye pia asi anapaka poda,wanja,cream ......dah kaz kweli kweli..kwa iyo dada ukienda cosmetics shop inabd ununue cream mbili,poda mbl,wanja stik mbil?????lip stik mbili........ahh jaman nyinyi mkienda kuoga mnaiwai dressng tebo manake nayeye asi anataka ajikwatue???au mnaweka kizam zam?anza wew????
ahhhhh ok unawai kuamka asi unaenda kazin yeye unamwacha amelala so akiamka na yeye kawa kwa raha zake......mapooooooouda kwa sana tu????mweeee mweee jaman tubak na kaka zetu waki tz mbona wazuri tu?wadada wa nje wanawafagilia wakaka wa tz that wachakaramu ,wana utu,wana onga(haaaaaaaa haaaaa) sasa wewe tena unaenda kumpik diwan wa lubumbash ili iweje?SI KM MBAGUZ APANA WENGNE WANA TABIA MBAYA WAKIJA NCHI NYINGNE WANAHARIBU MADADA LAKIN WAO WANA FAMILIA ZAO UKO KWAO!!!!!
love is blind ennh????ntakuazima jicho moja upate kutazama vyema!!!
 
Wakiamka wote wana share poda, lotion, sijui cream gani wanazojua wao akae mkao wa kuletewa bili za teksi zisizopungua elfu 50 kila siku pia ajiandae kuanza kudaiwa kwende kwenye boutiques bana kongo bana acha tu unahitaji moyo sana kuishi na hawa watu tena especially ukiwa una miliki bendi yenye wakongo utakoma bili ya vipodozi tu utakoma bili ya vipodozi ya mkongo mmoja ni sawa na uwanunulie vipodozi wanawake watano watakupa masharti ya either vipodozi kutoka ufaransa vya kampuni ya MAC na mengineyo
 
ENNY USHAURI WANGU HEBU PRINT HIZI COMMENTS HALAFU UMPELEKEE RAFIKI YAKO UMWAMBIE AMPE MKONGO ASOME DAH! ATATOKA NDUKI SIKU HIYO HIYO :lol::lol::lol::lol::lol:
 
Kweli nimesoma hizi comments nimeamini wakongo wote wanafanana,sikutaka kugeneralize lkn scenario nyingi zinafanana!!!!!!!!
 
Orait, sasa naona tofauti ya wazi kati ya kuwa mwanaume na kuwa mwanamke......Mwanaume unatakiwa uwe na kila kitu...........mwanamke aje kwako akiwa na kidude chake tu!!
 
Huyu dada awe makini sana something wrong going on......!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…