Siti ya kwanzaBinadamu wanapenda kujaji watu kwa kuangalia sifa za nje kitu ambacho mara nyingi sio sahihi, katika neighborhood ya kazini, one of colleague aliniomba nimshauri kwa yale anayopitia, kwa moyo mkunjufu nilijitahidi kua positive juu ya ndoa
Counseling gani hiyo ambayo ni one sided?..one of colleague aliniomba nimshauri kwa yale anayopitia, kwa moyo mkunjufu nilijitahidi kua positive juu ya ndoa yake na bila kupindisha rula, so ikawa kama counselling session..
KimasiharaBinadamu wanapenda kujaji watu kwa kuangalia sifa za nje kitu ambacho mara nyingi sio sahihi, katika neighborhood ya kazini, one of colleague aliniomba nimshauri kwa yale anayopitia, kwa moyo mkunjufu nilijitahidi kua positive juu ya ndoa yake na bila kupindisha rula, so ikawa kama counselling session, whenever things are down, we sit and talk it helped to unload the mental burden.
Yote ni sababu ya wanandoa kutotaka kuzungumza tofauti na issue walizonazo ndani, wanaona kununiana ndio suluhisho, kama mtu haja cheat, makosa mengine yote yanazungumzika, kuweka kiporo cha ugonvi kwa wiki, mwezi nk ni hatari kwa ustawi wa wanandani na hupelekea watu kutafuta altenative of where to settle their feelings.
Sasa talking therapy naona inataka ku turn into romantic therapy, labda kwa alivyojudge na tunavyoongea anahisi kua am a good guy na naweza kumpa comfort, while in reality i have flaw just as other human being, i also do have issues in my relationship just as they do tho not to their level, no human being is flawless and so the relationship they have.
So nieona ili niwe upande sahihi wa historia ya ndoa yao, ni mimi kuacha kumpa comfort, au ntakua nakosa ?
Ilkuaje mkuu, pole Sana[emoji848]Ayo mambo ya ushauri wa mahusiano sitaki kabisa kusikia niliwai kuliwa kimasihara na shemeji toka apo nimejifunza kama kuna tatizo tuongee pande zote
Yani nina akili mbovu kiasi hiki hadi ni dindishe kwa kusoma hii reply?Ayo mambo ya ushauri wa mahusiano sitaki kabisa kusikia niliwai kuliwa kimasihara na shemeji toka apo nimejifunza kama kuna tatizo tuongee pande zote
Bado shemeji anagusa?Ayo mambo ya ushauri wa mahusiano sitaki kabisa kusikia niliwai kuliwa kimasihara na shemeji toka apo nimejifunza kama kuna tatizo tuongee pande zote
Vijana wana msemo wao wanakuambia "au siyo"Chakata mbususu hiyo wewe
Ayo mambo ya ushauri wa mahusiano sitaki kabisa kusikia niliwai kuliwa kimasihara na shemeji toka apo nimejifunza kama kuna tatizo tuongee pande zote