mwenzenu sikufatilia mkutano wa chadema lakini kwa hamu nikasubiri TBC 1 itujuze yaliyojiri kwa mshangao ulipofika wakati wa magazeti yule mdada alianza na habari gazeti la chama,mzalendo na habari za shibuda kukandya upinzani na eti dr slaa kutaka kuachia ngazi kisha akapapasa kidogo mkutano wa chadema na nilivyomwona hakuwa na raha kabisa kutaja juu ya mkutano huo mkubwa hivohivo na taarifa ya habari,sasa nauliza sisi watz tulio mbali na uwezekano wa kupata habari tuamini lipi, ukweli mchungu?au maagizo fulani.jamani muwe mnatuhabarisha yaliyojiri kiukweli.nawasilisha

Ni kweli siyo mkila aliyeko chadema ana akili wengine ni mashabiki tuwahana lolote kama wewe uliyeleta mada hii, mnaniudhi mnapokuwa mnalalamika kwa sana kama huna cha kuandika si uache tu. Mimi mwenyewe nimeangalia TV asubuhi magazeti yamesomwa yote aliyopelekewa sasa ulitaka atoe kichwani mambo ya chedema, Kwa hiyo chombo chochote kisipo itaja chadema hakijatenda haki siyo. Kweli nimekubali kuna rafiki yangu mmoja mtaliano aliyewahi kufanya kazi Tanzania alisema watanzania mnapenda sana kulalamika na kusubili mafanikio bila kufanya kazi mtaendelea kuwa masikini tu. Sasa kama wewe kazi hufanyi kila siku chadema, chadema.
-ushaona habari yoyote ya vurugu za huko zenji zikia znatangazwa na tbc?zaid ya kuweka zile nyimbo za taarabu za wapemba|?