Unaogopesha. Tuseme upo kwenye mahusiano na mdada akikucheate, unaweza kumjua huko kilingeni? Hata akikudanganta tupo sehemu wakati hayupo unaenda kichawi unajua alipo?πππhawajui hizi shughuli zangu ...huwa sisimuliagi...na nikienda kilingeni naficha..
Puuzia hii, uchawi haufanyi kazi kwa roho isiyo na hofu.brother ndio maana huwa unanitisha
Hahaahahaa nmecheka kinoma... Mshana Jr sometimes unavuta bhangi? Maana unajua kuwa watoto wanaogopa humu kama huyo wa juuu.... Em mpe neno lolote umuondoe hofu...Ule muingiliano ndio muhimu zaidi...kwenye condom unachukua vya nje na vya ndani unachanganya na maji ya mochwari nk
Ahahaaaa,,,mshana boya sanaUle muingiliano ndio muhimu zaidi...kwenye condom unachukua vya nje na vya ndani unachanganya na maji ya mochwari nk
Kaka mkubwa Mshana Jr natarajia kupata mgeni toka mbali sana kaniambia mwakani atanitembelea lakini bado hajajua kuhusu tarehe wala mwezi. Nataka akija nimroge ili asikumbuke tena kurudi kwao, je nafanyaje?
Hapana nimeweka majibu yako yote pamojaKwamba inatosha kusema nmemjibu vema.
Na tukutane 28 ,TL chaguo LA wengi
Mshana endeleeni kukaza, kama kuna hela mnataka tuchange mfanye mambo yenu hawa mbwa watoke,
Wallah ya zanzibar yameniuma na kunifanya nisilale, yaan nmewachukia mara elfu nilivokua nawachukia
Kaza Mshana tunakuombea mfanikiwe....hatua hii ya mwisho iwe ya njema itutoe maumivu ya miaka.
Hapana nimeweka majibu yako yote pamoja
Je hukuwa na { hakika wakati unamjibu? } Maana next reply ulikuja kuniuliza mimi swali lenye mwelekeo wa reply yako ya kwanza
We mzee ni mwanga kweli huwa napitia maandiko yako kwa utlivu sana sasa ntaanza kukuogopa duuuuuhMalighafi za mapepo mbalimbali
Pepo la ngono Nyeti za kicheche
Pepo la uvivu konokono
Pepo la kutokuwa na haraka mpaka itumike nguvu Kinyonga
Pepo la uvivu na kupenda kulala Kitimoto na samaki pono
Pepo la kukosa usingizi macho ya kambale
Pepo la kimavi Kinyesi cha bin adamu
Pepo la wizi panya
Pepo la kutotulia na chochote Ngedere
Pamoja na mambo mengine manuizi hufanyika yakitanabaishwa na tabia za mnyama husika ambaye malighafi yake hufunganishwa na kitu chako kama nguo jina nk....