tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,008
- 1,949
Mshana hebu nijibu hapo juuWatapata tabu sana
SawasawaHii watafute wamasai na wafugaji wengine ni mahiri kwenye hii kaliba
Ahaaaa nimecheka sana yaani .kenua tuNgoja kwanza;
Kwahiyo unataka kutuambia nini tunaokenua kupanguswa mkuyenge baada ya kazi, tena kwa vi-leso maalumu kwa kazi hiyo?
Utamlogaje asiye logeka?. Utamlaanije asiye laanika. Hayo mashomo uchimbayo juu ya hawa wa kijani, utatumbukia mwenyewe.Nina mchango mkubwa sana kwenye kufisha na kufifisha nyota ya chama pendwa
Nimeroga sana hapo kabla lakini mwaka huu nimeroga mpaka jasho langu likawa linanuka uchawi
Nilijenga vilinge majini
Nikajenga vilinge ardhini
Nikajenga na angali
Nimepandikiza gundu kwenye rangi za chama
Wagombea nikawatupia gundu la kinyesi..mkubwa kabisa nikampiga jini kisirani
Nimeroga wala sijisifu ..nimeroga mpaka uchawi ukanikifu
Malighafi zangu maarufu zilikuwa ni
Maji ya gundu
Maji ya janaba bichi
Damu Chafu
Majani ya mkafiri
Nyota ya nuksi
Kinyesi cha popo/ngozi ya kinyonga
Mizizi ya mti chonganishi
Nikavaa koti la ugaguzi..walipokuja nikawapiga gundu wajumbe wakawaona kama maliwato ya jiji
Nikavaa koti la ulokole walipokuja kwa maombi nikawapiga muhuri wa upofu na kuzima nyota zao...walipojitokeza upenuni wajinadi wakakimbiwa na kuzomewa...
Nimejenga madhabahu za giza nyuani mwao
Nikajenga zingine kondeni
Na zingine kwenye mapito yao..hakuna nilipobakisha...na kila waliporudi kwangu kulalamika nikawaambia wamekosea masharti
Project inaendelea..huu ni mrejesho sehemu ya kwanza...mkiona wanakimbiwa..tambueni kuna miba za nungunungu zimetegwa kila pahala...
Kile kifutio nacho nasikia kinafunga mpaka DusheFresh mkitoka ku do demu anakufungashia kile kifutio mnamalizana
Mshana wewe Kabila gani? Na ni kweli mganga au mana nikipia jukwaa nyingi huku wakianza mambo ya ushirikina utaona mtu anakoment mshana Jr naomba kujua
Ukipata muda naomba ujisaidie kujijibuUtamlogaje asiye logeka?. Utamlaanije asiye laanika. Hayo mashomo uchimbayo juu ya hawa wa kijani, utatumbukia mwenyewe.
Subiri kidogo...!!!!Duh wapungizie kidogo mkuu maana wana Nuka kuliko mzoga
Yeah wanatumia mkia wa kenge kukutengenezaKile kifutio nacho nasikia kinafunga mpaka Dushe
nimesikitika sana ungeliinbox nikajazia ufundi wangu wa adhimu wa kijerumani ambao ndio mkali kuliko wowote ule duniani ndio ufundi hu hu tuliofichia mali zetu nchini mwenu na hata mafuta pia tuliyaficha pia
Nina mchango mkubwa sana kwenye kufisha na kufifisha nyota ya chama pendwa
Nimeroga sana hapo kabla lakini mwaka huu nimeroga mpaka jasho langu likawa linanuka uchawi
Nilijenga vilinge majini
Nikajenga vilinge ardhini
Nikajenga na angali
Nimepandikiza gundu kwenye rangi za chama
Wagombea nikawatupia gundu la kinyesi..mkubwa kabisa nikampiga jini kisirani
Nimeroga wala sijisifu ..nimeroga mpaka uchawi ukanikifu
Malighafi zangu maarufu zilikuwa ni
Maji ya gundu
Maji ya janaba bichi
Damu Chafu
Majani ya mkafiri
Nyota ya nuksi
Kinyesi cha popo/ngozi ya kinyonga
Mizizi ya mti chonganishi
Nikavaa koti la ugaguzi..walipokuja nikawapiga gundu wajumbe wakawaona kama maliwato ya jiji
Nikavaa koti la ulokole walipokuja kwa maombi nikawapiga muhuri wa upofu na kuzima nyota zao...walipojitokeza upenuni wajinadi wakakimbiwa na kuzomewa...
Nimejenga madhabahu za giza nyuani mwao
Nikajenga zingine kondeni
Na zingine kwenye mapito yao..hakuna nilipobakisha...na kila waliporudi kwangu kulalamika nikawaambia wamekosea masharti
Project inaendelea..huu ni mrejesho sehemu ya kwanza...mkiona wanakimbiwa..tambueni kuna miba za nungunungu zimetegwa kila pahala...
Tunaomba Mshana uandike kitabu cha uchawi, wewe ni zaidi ya Profesa
Mkuu wa Anga nimeangalia kwa haraka kuna shida na yama au nchi i nyingi zenye rangi ya kijani bendera zake Kindumba hii inamaana ganikwani hata yakila utaona? Huoni ila hamu ya kupiga puchu itaongezeka hapo tambua jamaa wanataka tena