Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Tulishawahi kuonana Mabibo pale Muleba bar wakati huo ukitumia ile ID nyingine umenisahau?








Tulishawahi kuonana Mabibo pale Muleba bar wakati huo ukitumia ile ID nyingine umenisahau?








Can't wait....Subiri tupange uje umuone. Utashangaa ni handsome boy kweli mdogo wangu. Ila macho yake ni ya nyoka yaani ya kudanganya. hahahahaha. Nikitoka porini nitawaunganisha utafurahi. He is a wise guy na hayo mambo ya urozi anawageresha ili JF isonge mbele. Amekaa sana Asia hivyo anajua mambo mengi ya madawa.
cc; Mshana Jr.
Subiri tupange uje umuone. Utashangaa ni handsome boy kweli mdogo wangu. Ila macho yake ni ya nyoka yaani ya kudanganya. hahahahaha. Nikitoka porini nitawaunganisha utafurahi. He is a wise guy na hayo mambo ya urozi anawageresha ili JF isonge mbele. Amekaa sana Asia hivyo anajua mambo mengi ya madawa.
cc; Mshana Jr.










Nikajua uneeka sura langu kumbe vidole tuu..
Nikajua uneeka sura langu kumbe vidole tuu..
nene...