Mshana Jr...without sunglasses

Mshana Jr...without sunglasses

Eliza kakunywesha nini jana? adi ukajisahau ukatupia tupicha 😀 😀 😀 😀
 
Ujue tunasubiri Mkuu tukuone unavyotisha ukishavaa kama mwanga/mrozi ili tufananishe na ukiwa umevaa kama binadamu wa kawaida tena mtanashati asiyejua lolote kuhusu urozi.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Ha ha ha picha inaonyesha mnywaji kabisa huyu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom