Mshana Jr...without sunglasses

Mshana Jr...without sunglasses

Ingekuwa ID mpya ingekuwa
'Humu siyo fb'
'Waambie mods wakuondolee picha unajichoresha'
'Acha utoto humu ni GT only'
'Hayo mambo peleka insta'
'Shushushu kazini'
'Umetumwa?'

Mkuu umeamua ku-break the internet


Hajaambiwa hivyo kwasababu moja tu....sio mgeni,anajua kila kitu kuhusu humu

Wageni wanaambiwa hayo kwa manufaa yao,huwenda hawajui how JF works
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom