Lagrange
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 2,438
- 2,868
Hapana. Sina hela
Unaweza kuja hapa Mtwango uchukue tu ,,
Hapana. Sina hela
30 + 1 si zaidi ya hapo achana na sisi wa kipindi cha NyerereAise usinipunje hivo Mkuu.
30 + 1 si zaidi ya hapo achana na sisi wa kipindi cha Nyerere
Amkia wakubwa zakoKikubwa tubadilishane mawazo . umri ni miaka.


ni kweli nina minyooUtakuwa una kitambi kikubwa sana.
Hongera sana Mkuu kwa kuwa na umri huo .
Watoto wako wakikusalia inatosha.
Kumbe ulipoona picha ulifikiri na umri pia ni mdogo kama muonekano wa picha

