Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Una maana mimi ni mmoja kati ya wanaopendwa?
Una maana mimi ni mmoja kati ya wanaopendwa?
Mkuu mbona sura yako haina uhusiano na ushirikina wako?



😂😂😂haunitakii mema
Una maana mimi ni mmoja kati ya wanaopendwa?
Mnataka mitusi iongezeke kwa wadada wa Jf?
Usituangushe sasa...uzi wako ukiambatanisha na kapicha kako itapendeza


Mnataka mitusi iongezeke kwa wadada wa Jf?![]()
Kumbe tuna watoto humu ndani .Usiniloge Mkuu Mshana nami nimekuunga Mkono kwa kuweka picha.
(Inyi nyi mana mtutu bado ngeore wafee ,ngike watarama shindo shela.)View attachment 1101512
Aiseee!umenipa jibu ambalo na mie nitakuwa nalitumia 😊😊wanaotaka kuniona waje kwetu

Matusi ya nini sasa?wakitukana hatuwaachi
Hata msipowaacha si wameshatukana![]()
Mtu wa nguvu na busara zake...View attachment 1101318
Join me to break the taboo of showing our true self.. You never know about tomorrow... Meet me while you're aware the face you are going to meet (face not heart)
Ahsante binamu, nakupenda piaSawa binamu.
Nakupenda sana binamu.