Hahaha...
Hayo mapigo ya hatari aisee...
Hahahaha nimeona sasa wewe ndio yupi apo lol
Teh teh!!! mpiga picha...
Mapigo yangu hayakuwa travolta...
sina utani na hawa jamaa ila nimetonywa na jamaa wa archive kuwa hawa jamaa wanahusika hapa
View attachment 251014
NB;Elimu ni ufunguo wa Maisha
Nadhani wa kati kati!