Mshana Jr na wenzake

Mshana Jr na wenzake

Ikitokea wakakaa na kufanya jambo lolote la ajabu (ambalo ni geni Machoni/Masikioni mwetu) naomba nitag...

Wote hawa Vichwani na Mtazamo bado ni wa Ulimwengu wa tatu.
Hivi kwa mfano ikatokea Mshana Jr, Davinc, Mzizi mkavu, Rakims, Lifecoded, The bold, Zitto,Pasco, Kiranga na baadhi niliowasahau siku wakakaa meza moja hivi hawawezi kufanya kitu kweli..? Yani kipindi hicho wote wakasahau kubishana kuhusu asili ya Yesu, kuhusu mke wa kwanza wa Adam, Kuhusu waisraeli asilia, kuhusu alien wapo au hawapo na mambo kadhalika nakadhalika... Wakaamua siku ngoja na sisi tukae sasa tufanye kitu chetu..
 
halafu wote walipita kwenye anga letu juzi usiku naona kulikuwa na mashindano mshana ndio alikuwa amewaacha wenzake kwa mita Mia alikuwa anaendesha dreamliner
 
halafu wote walipita kwenye anga letu juzi usiku naona kulikuwa na mashindano mshana ndio alikuwa amewaacha wenzake kwa mita Mia alikuwa anaendesha dreamliner
 
Hao watu tajwa japo juu baadhi yao ni wakawaida na wana mawazo ya kawaida kabisa ukiwaondoa kwenye vitu walivyo interested navyo.
Baadhi yao nimejaribu fuatilia michango yako kwenye mada za kijamii wana Mawazo ya kawaida kabisa...
Pia wengine huleta nyuzi za history za wanasayansi walifanya nini kipind icho.

Sijui iyo combination yao itakuwaje wengi wanatofautia secta..
 
Wabongo tuna elimu ya kiubishani tu, sioni kama wanaweza kutengeneza kitu #never!
 
Hivi kwa mfano ikatokea Mshana Jr, Davinc, Mzizi mkavu, Rakims,kenzy,deadboy, Lifecoded, The bold, Zitto,Pasco, Kiranga na baadhi niliowasahau siku wakakaa meza moja hivi hawawezi kufanya kitu kweli..? Yani kipindi hicho wote wakasahau kubishana kuhusu asili ya Yesu, kuhusu mke wa kwanza wa Adam, Kuhusu waisraeli asilia, kuhusu alien wapo au hawapo na mambo kadhalika nakadhalika... Wakaamua siku ngoja na sisi tukae sasa tufanye kitu chetu..
Na Mshana akitumia vizuri Mauchawi yake aisee full of creativity
 
Angalau zito junior alinihakikishia kuwa yesu ni mweusi halafu sisi weusi waafrika ndo waisrael wa kweli ndo mana hata fuvu la kichwa lipo olduvai gorge!kumbe baba yetu adam alikuwa mmasai au mmeru wa arusha!!!big up sana!!!
 
Back
Top Bottom