Alafu huyo mbuzi mbona kama anakifaduro
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hapo kwenye gunia kuna
Majini 800
Tunguli 70
Mikia 6 ya ngedere
Ndevu za bibi kizee
Nyongo ya mamba
Damu ya kobe.
[emoji16][emoji16][emoji16] jamaa amekuwa na watani wengi sana humu.Hapo kwenye gunia kuna
Majini 800
Tunguli 70
Mikia 6 ya ngedere
Ndevu za bibi kizee
Nyongo ya mamba
Damu ya kobe.
Hahaha[emoji30][emoji30][emoji30][emoji1536]
Nyongo ya mamba ya nn tena hiyo NI kitu hatari sana kwa maisha ya binadamuHapo kwenye gunia kuna
Majini 800
Tunguli 70
Mikia 6 ya ngedere
Ndevu za bibi kizee
Nyongo ya mamba
Damu ya kobe.
Hatari lakini muhimuNyongo ya mamba ya nn tena hiyo NI kitu hatari sana kwa maisha ya binadamu
[emoji4][emoji4][emoji3]Ha ha haaa...! Kwani Mshana Jr anagombea Jimbo gan?